Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
Apology for getting ur hopes up but the guy contacted me n said they had small problems but whatever the case they،ll release them 2mmorow! All the best kwa wausika
Kwa 95% yanaweza kuachiwa hewani tar.30. Sijui kwanini yamecheleweshwa sana mwaka huu...
uhakika ni kesho au j.tatu.
Ngoma j3 wazee me mwenyew nayasubiria tu.
Hawatoi juma pili
Kwa taarifa za uhakika toka kwa mama ndalichako,matokeo ni tar 30/april kabla ya saa 10 jioni..waliokua wanachukua michepuo ya arts na biashara inasemekana wameharibu sana,tanzania one ni demu anatoka marian girls mchepuo wa Pcm.ukitaka maelezo zaidi ni PM.over
mbona hao madogo walikuwa wanadai pepa lilikuwa jeupe
Follow Us Here