Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
HAYA HAPA:
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
au
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
HAYA HAPA:
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
au
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Eti mbna hayafunguki 2kaona,wamekosea walipaswa kusema selection zimetoka
Waziri gani ametangaza matokeo hayo
Ufafanuzi:Ni 4m 5 selection au form six result?
Nashangaa sana. Wakati kusahihisha kwenyewe hatujamaliza.
http://www.moe.go.tz/index.php?optio...=1:latest-news
sio matokeo. ni selection za waliofanya vizuri kidato cha nne
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Hivi selection ya form five bado?
TBC wamesema kwamba,eti ,alafu, matokeo ya kidato cha sita yametoka. Habari ilikuwa kama vile imepikwa na mtangazaji aliisoma kama kwenye rafu paper. Rafiki yangu ambaye alienda kusahihisha mitihani bado hajarudi , kweli TBC UKWELI NA UHAKIKA ,Ukija kwenye net ni selection za f.5
IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT
hata hivyo haifunguki.....kuna makosa wanasema data base erro
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
mabwaku yaani hakuna mhariri tbc nini..
Jamani kuweni makini wakati mkisikiliza taarifa ya habari, vinginevyo ipo siku mtafanya vioja.Kilichotangazwa ni majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2012 sio matokeo ya form six
MTENDEE MWENZAKO KAMA AMBAVYO UNGEPENDA WEWE AKUTENDEE
Vp Mwanaasha kapata shule gani?
Bajeti ya maskini tajiri haiwezi
Tido ni nomaaaaaaaaaaaa!! TBC mmeshindwa kutofautisha selection za form five na matokeo ya form six?
Follow Us Here