Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
HAYA HAPA:
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
au
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka.
HAYA HAPA:
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
au
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
kweli!!!!! jamni but moe inafunguka !!!!!!!!!!
Ndugu zangu 4m 6 leavers 2012, Mwenye tetesi kuhusu 7bu za kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo a2pe habari!!
Zinatangazwa leo, wanahabari wameitwa leo ukumbini kwa ajili ya kutangaziwa matokeo
Mei mosi njema, hatimaye baada ya kelele za muda Ndalichako ametoa matokeo leo, more news to come
Oya ukweli au?
Sure, jembe langu vp yanatangazwa saa, ngapi maana hata website ya NECTA 2day haisomi kabisa
raph unapresha sana nipe jina nitakuchekia tokeo lako niku pm majibu all the best kama unayasubiri
People that tell you for no reason "don't forget where you came from" are mad because they're still there.
Description of "Star Codes" Used by NECTA in Examination Results
- * S==> Results suspended pending clarification of observed anomalies either in candidates' entry details, involvement in cases of irregularities or misconduct in the examination.Results suspended due to centers or schools' failing to meet registration requirements (i.e. centers with less than 35 candidates).
- * E==> Results withheld, pending proof of candidates' payment of requisite Examination fees.
- * I==>INCOMPLETE Results due to candidates' missing Continous Assessment (CA) scores in all subjects offered.
- I ==>Incomplete results due to candidates' missing Continous Assessment(CA) scores in one or more subjects offered but not all.
- * W ==>Results withheld/nullified or cancelled due to proven candidate's involvement in cases of dishonesty or irregularities before, during or after the examinations.
- * T ==>Results suspended due to candidates' attempting one or more subjects not registered for (pirate candidate).
- ABS ==>Candidate missed to take the Exam.
- FLD ==>Candidate failed the Exam.
- X ==>Candidate did not appear to take the exam for the particular registered subject.
http://www.necta.go.tz
LINK1
http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
LINK2
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
LINK3
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Last edited by MashaJF; 1st May 2012 at 11:45.
Vijana wanapresha sana! Msihofu,yapo karibu kutoka.
Leo Public holiday yatatokaje?hiyo ni kesho.
Tayari nyie,fungua The National Examinations Council of Tanzania uyaone!
KWeli mkuu....thNKS SANA..
"Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.
Yametoka
Matokeo mabaya yani ilboru na mzumbe hakuna div one ya tatu? Rejao vipi?
Naona wenzetu wanaliendeleza libeneke tu! ha ha
P1298 KIEMBESAMAKI SEC SCHOOL CENTRE
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 2 FLD = 4
CNO SEX CANDIDATE NAME AGGT DIV DETAILED SUBJECTS P1298/0501 F FATUMA CH OMAR 19 IV G/STUDIES-F IS/KNOWLEDGE-F KISWAHILI-S ARABIC-S P1298/0502 F MWAJUMA M FAKI 21 FLD G/STUDIES-F KISWAHILI-F ENGLISH-F ARABIC-F P1298/0503 F WANU M RAMADHAN 20 FLD G/STUDIES-F KISWAHILI-S ENGLISH-F ARABIC-F P1298/0504 F ZAINAB Y ALI 20 FLD G/STUDIES-F KISWAHILI-S ENGLISH-F ARABIC-F P1298/0505 M MOHD N HAJI 18 IV G/STUDIES-S HISTORY-S IS/KNOWLEDGE-F KISWAHILI-E P1298/0506 M SAID S AME 20 FLD G/STUDIES-F IS/KNOWLEDGE-F KISWAHILI-S ENGLISH-F
Watu wakimya wamejaliwa busara, ufahamu na midomo inayonuka!
Jamani mambo tayari! Fungu The National Examinations Council of Tanzania uyaone!
Jamani hayawi hayawi leo yamekuwa,hasiyekuwa na mwana aelekee jiwe.Hasiye sikia la mkuu huvunjika guu.Utavuna ulichopanda.
Visit:http//www.necta.go.tz
Teh teh teh,asee madogo wameharbu sana.
Follow Us Here