Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Matokeo ya form four yanatupa picha gani sisi kama wanajamii?

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      Joe Elly's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 375
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Matokeo ya form four yanatupa picha gani sisi kama wanajamii?

      jamani kama matokeo yalivyoonyesha wadogo zetu wamefeli sana hasa katika shule za kata,,je,wote waliofeli wataenda wapi??naombeni mchango wenu wanajamii...


    2. #2
      Mr Rocky's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2007
      Location : Hungumalwa
      Posts : 9,708
      Rep Power : 68642
      Likes Received
      7082
      Likes Given
      5591

      Default Re: MATOKEO YA Form FOUR YANATUPA PICHA GANI SISI KAMA WANAJAM..II???

      With no plan wataishia vijiweni na wengine kuingia kwenye bongo fleva na wengine ndo kuishia kuwa wezi wa mitaani maana waliopata zero hata cheti cha kuombea kazi au kujiendeleza hawana
      Kuna zaidi ya tatizo kwenye matokeo haya na tusifikiri vijana hawa wanaishia tuu majumbani mwao
      Ni bomu ambalo linasubiri kulipuka wakati wowote la vijana ambao hawana kazi na hawana hata vyeti vya kuombea kazi yoyote
      Wanajilundika mtaani bila mpango wowote
      Maganga Mkweli likes this.
      When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

    3. #3
      Maganga Mkweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2009
      Posts : 1,242
      Rep Power : 754
      Likes Received
      398
      Likes Given
      1024

      Default Re: MATOKEO YA Form FOUR YANATUPA PICHA GANI SISI KAMA WANAJAM..II???

      Quote By mr.rocky View Post
      with no plan wataishia vijiweni na wengine kuingia kwenye bongo fleva na wengine ndo kuishia kuwa wezi wa mitaani maana waliopata zero hata cheti cha kuombea kazi au kujiendeleza hawana
      kuna zaidi ya tatizo kwenye matokeo haya na tusifikiri vijana hawa wanaishia tuu majumbani mwao
      ni bomu ambalo linasubiri kulipuka wakati wowote la vijana ambao hawana kazi na hawana hata vyeti vya kuombea kazi yoyote
      wanajilundika mtaani bila mpango wowote
      hii ni hukumu ya hichi chama tawala walau wamepata elimu ya uraia itakuwa raisi kuwaelimisha
      tunaongeza idadi ya mawakala wa upinzani vijijini maana kwenye chaguzi za mwanzo ilikuwa nadra hata kupata msimamizi wa uchaguzi maeneo ya kijijini kwetu
      inaumiza sana upande mwingine wamewapotezea dira kabisa hawajielewi kabisa naunga na wewe hili
      time bomb
      LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...
      MHANDISI WA MFUMO WA UMEME /POWER SYSTEM ENGINEER -ANY ELECTRICAL ENGINEERING ISSUE YOU CAN CONSULT ME..

    4. #4
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,952
      Rep Power : 834
      Likes Received
      382
      Likes Given
      241

      Default Re: Matokeo ya form four yanatupa picha gani sisi kama wanajam..ii???

      Shule za Kata si chochote, si lolote.
      NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...