Matokeo yametoka click hapa kupata
Http//:196.44.162.33/necta2011/olevel.htm
Matokeo yametoka click hapa kupata
Http//:196.44.162.33/necta2011/olevel.htm
vipi wadau mmeiona hiyooooooooooo
http://196.44.162.33/necta2011/olevel.htm chukua hiyo live and active link
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
Jamani taifa letu wapi linaelekea kama kiwango cha elimu kinazidi kushuka,je?viongozi wajao si watakuwa na fikra duni sana,madaktari,wanasiasa na watu muhimu ktk taifa si tutateseka sisi wananchi wa tz wizara husika idhibiti suala hili.
Last edited by Hamza Teacher; 21st February 2012 at 13:13.
Follow Us Here