Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
Subirini kidogo tu. Yanaweza kutoka Jumatatu ya tarehe 30 Januari 2012. Muda mfupi uliopita niliongea na mtu wa IT huko NECTA ambaye aliniambia yangetoka leo lakini kuna tumarekebisho kidogo.
NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA
Mimi nimeshakata tamaa ya matokeo, sasa nimeamua kuoa ili niwe mwanakijiji kabisaa. Sina muda tena wa kupoteza kusubiria matokeo mimi.
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Jamani muwe na huruma bac cku zote hizo hadi imekuwa tofauti na kawaida...hivi ni nani anapenda maisha ya kitaa tumechoka bwana au ndo MGAO KAMA TANESCO au NDO NYIE MNATAKA KUONGEZEWA MSHAHALA KAMA NI HIVYO MUWEKE WAZI COZ NCHI YETU NDIVYO ILIVYO...
namatumaini makubwa kuyaona matokeo kesho,tuvute subira!mwisho wa siku iwe kesho au kesho kutwa matokeo yatatoka tu!jambo la muhmu ni kujipanga kuyapokea km yakiwa mazuri au mabaya!kujipanga kwa kifuatacho baada ya matokeo ni muhimu sana kuliko shauku ya kuyasubiri
Kuweni wapole wanastandadize ionekane kiwango cha ufaulu kinapanda
Duh wa2 hawamuogopi mung wanaongopa 2 matokeo yatatoka soon tuwe wavumilivu!
mpaka sasas mwezi wa February hakuna matokeo Hii Sirikali bana- na watu baadhi HOVYO KAMA INAIONA HOVYO WEWE NDO HOVYO
Jino kwa Jino
Da!kweli hii kali
madogo mmefeli sana kwa hivyo tunajaribu kuwarekebishia bumatokeo bwenu kidogo nafikiri soon tutawawekea hewani
matokeo bhana nimelonga na waziri(mjomba angu) leo moniree kaniambia anaogopa kuyatoa maana hakuna wani wala tu wala sirii yaaani wa kwanza tz nzima anatokea shule ya bogwe na yeye ana fooo ya point 30![]()
Matokeo mwaka huu ni surprise tosha...wahitimu kaeni mkao wa kula
Siasa ni hoja na si vinginevyo
Achen uhuni wanajf toen taarifa sahh hii ni ishu nyet.
jamani mbona kuna page ya utani kwa nini mnapenda kuwapa presure wanetu? leteni isue zenye tija si vizuri jamani kujizungumzia lolote hata kama cm au kompt mali yako.penje utan fany utan peny jamb nyt kuwa siriasi mweee msiache niongee cha kwetu mm.
2andamane kudai matokeo ya watoto wetu & wadogo zetu. Hii nchi ni non-sensitive bila maandamano NO SERVICE!
Kwanza tupate 7bu kwanini hawayatoi...? Ndio tuandamane au co wadau.
Matokeo Haya hapa!FUATA LINK http://196.44.162.14/necta2011/olevel.htm
Follow Us Here