Matokeo nackia yameungua na kwa sasa wanatafuta namna ya kuya buni ili wayatoe feki watangalia continous assesment. Za shulen kwao
Matokeo nackia yameungua na kwa sasa wanatafuta namna ya kuya buni ili wayatoe feki watangalia continous assesment. Za shulen kwao
Acha uongo dogo, yaani waburn matokeo.
Sijui umesikia kwa nani hizo taarifa, jamani kama huna data za kutosha unatulia!! siyo kutoa taarifa zisizo na mashiko.
"Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience" Mark Twain
Unazungumzia matokeo ya nini? Eleweka tafadhali
Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales
Halafu mwaka 2012 watu hawajafanya mitihani
Zogolo Dangu Dawika Miye!
Kwani matokeo hayo yalikuwa yanapikwa yakaungua au ofisi zimeungua au pcs zimeungua na shoti ya umeme au ni vipi? ungeleta source ya kuungua tungeamini lkn kama hakuna sbb inawezekana ni funga sumaku na kamba, usiwadanganye wadanganyika wakati wameamka kwenye vono la uongo tunaamini real sources.
Jmn tatzo lenu hamfikilii, wengi wenu mnafikiri ni matokeo ya form4 co ni matokeo ya usaili wa pale baraza kwa cc tuliokuwa cnaomba kaz pale.!
----- kama huo hakuna wa kuujadili.
Pumba tupu
Labda walikuwa wanacook matokea wakajikuta wameyachoma kweli,,, lol
Hey guyz iz batter 2 stop 2 cömment about bitch post hav a nic day ma pp's.
Matokeo yanatangazwa kesho,but mwaka huu boys wamefunka ile mbya in the top10
Wacha longo longo bwana matokeo yametoka watu wanayatazama kama kawa
www.moi.go.tz
Yapo vp?Hivi haya matokeo ni ya wa2 wote au bnfs?
Km n y wt 2subiri necta ita2jurisha 2ache brah brah.
Gd night all of u.And wait results of o level how ppl increase and decrease in performance.
inashangaza baraza wamepiga cm shuleni kwety wakiomba tuwatumie continous assesment za fom 4 2011 kesho
Naona mnaendelea kupeana porojo 2 majibu yako mbion kutoka punguzen kuongopeana au amjazisoma term za jf?
Follow Us Here