Funnunu zipo nyingi but naomba tujulishane hapa?
Funnunu zipo nyingi but naomba tujulishane hapa?
nadhani wengi wanabuni date kwa ktmia uzoefu.ingawa kama mdau mmja alivyosema inasemekana private cand.mwaka huu wako juu na shvle zt za kata hoi ! ni kwamjibu wa mmoja wa waalimu wakiliotoka kusaisha.hata hvy tar yakutangazwa ni tetes tu.tungoje baraza
this January lazma yatoke http://www.jamiiforums.com/images/st...embarassed.gif
Hello. Am brianna, ni mgeni ktk this program
aiseeeee! poleni kwa wale wote mnaosubiria matokeo, watnafunzi wengi nawaona roho juujuu.... ila kwanini hawaja yatoa matokeo hadi leo hii, hadi wengine wanashindwa kufurahia visherehe vizuri bwana! sio vizuri
Safari moja huanzisha nyingine,
nawatakia kila lakheri ndugu zangu wote mnaongoja matokeo,
mwenzenu nillishasoma hadi chuo kikuu lakini maisha yangu ni ya kawaida sana,
jamani hebu semen ukwel wa mungu hv matokeo ya form 4 yanatoka lini?
nguvu hii na bidii unazotumia kuulizia matokeo ungevitumia ktk kusoma,kufanya mazoezi,leo hii ungekuwa na amani moyoni.....sasa hivi roho juu kwasababu unategemea miujiza itokee. Uliokuwa ukiwaita wasongolists sasa hivi wapo kwenye tuition za pre-form five. Maneno haya aliambia mama wa kambo hadi leo nayakumbuka...
Jaman hzo ni rumors tu! Hakuna anayejua lakini tusubiri tuone!
Hello am moul'd from burn town ebana ningependa kutoa hi kwa wanachama wote wa jamii nawaambia wasiwe na nchecheto matokeo yatatoka tu.
E bwana eh!datz true men,wale waliokuwa wanakesha katka kusoma 2likuwa 2nawacheka ona sasa wao sahv wanasoma pre-form v.dah!mackn we,kwel ng'ombe wa masikini hazai.
Achen mbwembwe asee watu tupo serious jaman
yatatoka mwezi wa sita pamoja na ya form six
kama ya fom tuu ni issue, ya fom foo labda mwezi wa tano.
Follow Us Here