Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 22
    1. #1
      kokudo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 619
      Rep Power : 562
      Likes Received
      11
      Likes Given
      13

      Default Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Anaefahamu anijulishe tafadhali pia kama kuna anae jua web anipe tafadhar

    2. #2
      H6MohdH6's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 41
      Rep Power : 449
      Likes Received
      3
      Likes Given
      13

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.

    3. #3
      Ms Judith's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Posts : 2,542
      Rep Power : 972
      Likes Received
      851
      Likes Given
      584

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      kweli jamani anayejua atufahamishe manake hata mie nina mtoto wa kakangu natamani kweli kupata matokeo yake, alikuwa kichwa sana na tunampenda sana
      Mtu awaye yote asiyempenda BWANA, na awe amelaaniwa. MARAN ATHA!!!
      (1 Wakorintho 16:22)

    4. #4
      ketwas's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 199
      Rep Power : 469
      Likes Received
      26
      Likes Given
      2

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      ni mpaka mezi wa pili

    5. #5
      MkimbizwaMbio's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Posts : 873
      Rep Power : 610
      Likes Received
      292
      Likes Given
      197

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By H6MohdH6 View Post
      Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
      Acha kudanganya watu.
      Matokeo yanatoka kwenye Internet kila mwaka.
      We shall heal our wounds, collect our dead and continue fighting

    6. #6
      Mbavu za Mbwa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd January 2011
      Posts : 93
      Rep Power : 447
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Yatatoka tu. Punguza presha

    7. #7
      kokudo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 619
      Rep Power : 562
      Likes Received
      11
      Likes Given
      13

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By mbavu za mbwa View Post
      Yatatoka tu. Punguza presha
      Basi mkipata fununu mnijuze sawa mbavu za mbwa,hata wewe mkimbizwa mbio pia Wewe Miss ukipata uccte kunijuza thanks kwa ushirikiano wenu.
      mwamini lukosi likes this.
      Wa Ubani

    8. #8
      Baba Mtu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2008
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 853
      Rep Power : 721
      Likes Received
      93
      Likes Given
      655

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By H6MohdH6 View Post
      Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
      Mtu ovyooooo!!!!!!, kama mji usiokuwa mjumbe!!!!. Kama huna cha kuchangia kaa kimya utakuwa umefanya la maaana likiwemo la kutojaza saver ya JF
      MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
      (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

    9. #9
      Mchwechwele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2011
      Posts : 1,416
      Rep Power : 711
      Likes Received
      376
      Likes Given
      86

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By kokudo View Post
      Anaefahamu anijulishe tafadhali pia kama kuna anae jua web anipe tafadhar
      Pole mkuu ndo umerudia paper nini?

    10. #10
      mawazoyangu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Posts : 101
      Rep Power : 447
      Likes Received
      12
      Likes Given
      120

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By Baba Mtu View Post
      Mtu ovyooooo!!!!!!, kama mji usiokuwa mjumbe!!!!. Kama huna cha kuchangia kaa kimya utakuwa umefanya la maaana likiwemo la kutojaza saver ya JF
      Umetumwa nini? au na wewe ni raia wa Iran. aliyosema ni ukweli. kama wamekutuma kawaambie wanaJF wanajua mpango mzima wa ufisadi

    11. #11
      Mkeshahoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2009
      Posts : 2,251
      Rep Power : 987
      Likes Received
      201
      Likes Given
      786

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By MkimbizwaMbio View Post
      Acha kudanganya watu.
      Matokeo yanatoka kwenye Internet kila mwaka.
      wewe uko dunia gani... Mrisho Mpoto keshasema maisha yetu kila kitu ni dili...!!!RA anapiga hela kama kawa...!!kalaghabaho!!!
      Hela silaha... Kisu Mzigo

    12. #12
      TIMING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Roaming...
      Posts : 20,203
      Rep Power : 12279
      Likes Received
      6062
      Likes Given
      6927

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By H6MohdH6 View Post
      Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
      ectopic ----
      ....Time is the wisest counselor !!!

    13. #13
      Gavana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th July 2008
      Posts : 7,334
      Rep Power : 1902
      Likes Received
      715
      Likes Given
      436

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By MkimbizwaMbio View Post
      Acha kudanganya watu.
      Matokeo yanatoka kwenye Internet kila mwaka.
      wengine bila kudanganya hawajisikii ndio mazoea

    14. #14
      Elisante Yona's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th October 2009
      Posts : 113
      Rep Power : 516
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Ndugu,

      Fuatilia matokeo yakitoka yanatangazwa redioni na kwenye runinga,na anayetangaza ni katibu mtendaji wa baraza la mitihani au waziri wa elimu,

      Pia unaweza kutembelea wavuti ya baraza la mitihani yaani www.necta.go.tz,

      Hakuna kulipa chochote,huyo Mzushi aliyesema unalipa shilingi 400,hajui chochote,No data no right to speak(Mao)

    15. #15
      Colossus's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 8
      Rep Power : 429
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Pliz i beg u jf members n luk 4 me this s1327/0083 some body in 4m4 tld me to check it up for him.

    16. #16
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21345
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Quote By H6MohdH6 View Post
      Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na watu wake, vimetwaliwa na mto mmoja, tena mtu mwenyewe si raia kwani ni raia wa nchi nyingine.
      You are right: Yaani NECTA hata website yao wameiblock ili kutoa mwanya kwa Vodacom kufanya biashara. Hii nchi inaelekea wapi?, watoto wa masikini kweli bado wanakamuliwa katika haki yao ya kujua wamepata nini? baada ya kulipia ada za shule, mtihani na sasa walipie kuona matokeo. Hii huduma kama kweli VODA wanaitoa ilitakuwa ni charity, yaani iwe bure kwa ajili ya Taifa. Kwanza ingewasaidia VODA kupata new customers kama lengo ni kujilimbikizia faida.
      mwamini lukosi likes this.

    17. #17
      Alisule's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Jamani matokeo ya kidato cha nne mpaka lini mbona mnatueka tuekeeni tujijue

    18. #18
      G.JUMA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th December 2011
      Posts : 111
      Rep Power : 402
      Likes Received
      13
      Likes Given
      10

      Default

      Quote By Alisule View Post
      Jamani matokeo ya kidato cha nne mpaka lini mbona mnatueka tuekeeni tujijue

      Bado mda kidogo "ALISULE".

    19. #19
      Benson kihanga's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 3rd January 2013
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      kinyondo hchoooo

    20. #20
      Venance Gilbert's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th January 2013
      Posts : 24
      Rep Power : 325
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

      Kwa kawaida matokeo hutoka mwezi wa pili ila nasikia watu wakisema kuwa mwaka huu yatatokd mwezi wa 4 pia huwa yanapatikana kupitia web ya www.necta.matoke.go.tz pia unaweza kuyaGoogle bila kuvisit hiyo web

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Matokeo kidato cha nne 2009
      By Tripo9 in forum MATOKEO KIDATO CHA NNE/SITA
      Replies: 142
      Last Post: 11th February 2012, 09:21
    2. Matokeo ya kidato cha nne 2007
      By Lusako76 in forum MATOKEO KIDATO CHA NNE/SITA
      Replies: 2
      Last Post: 25th May 2011, 10:38
    3. Replies: 1
      Last Post: 8th March 2011, 13:08
    4. Matokeo kidato cha nne
      By Jumakidogo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 3
      Last Post: 22nd February 2011, 11:36
    5. Matokeo kidato cha nne ni standardization ya matokeo halisi baada ya wanafunzi kufeli
      By Nicazius in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 16
      Last Post: 6th February 2011, 10:12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...