Matangazo madogomadogoMatangazo ya misiba, mikutano n.k yawekwe hapa.
ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jamani, nimepokea email na PM nyingi sana kuliko uwezo wa server yangu kubeba kuhusu hili swala la kuweka picha hapa za Rais.
Naomba niseme kuwa, wingi wa email za kusikitishwa na kitendo cha kuweka zile picha hapa umezidi uwezo wangu wa kufanya kiburi cha ujana. Nakubaliana na wengi kuwa hakukuwa na maana yoyote ya kuweka zile picha hapa kwenye jamvi la jumuia.
Ni kweli kuwa Kikwete ni rais wa Tanzania na pia ni Rais wangu.
Nakiri kuwa nilikosea kuunga mkono uamuzi wa kuweka picha hapa na pia kuzisambaza kwa baadhi ya watu. Natumia bandiko hili kumuomba rais Kikwete msamaha rasmi kwa kuweka hapa mambo yake binafsi na yasiyostahili kuonyeshwa hadharani.
Ikumbukwe kuwa huu msamaha ni kwa ajili ya picha na hizi habari za ngono na sio upungufu wa Kikwete wa kisiasa na kiuongozi.
Jamani, naomba sana kwa wale niliowatumia picha wazitunze na wala wasizisambaze. Naomba pia samahani kwa wale waliopoteza muda wao kuja kuona picha hapa na kukuta kuwa server imezidiwa.
Samahani kwa wana JF kwa kuwa mmoja wa watu waliosababisha JF kupotea kwa muda fulani. Nakubaliana na wale walioshauri from the begining kuwa nisiweke mambo hayo hapa na samahani sana kwa kutofuata ushauri wenu.
Nimejifunza mengi kutokana na hili na natumaini kuwa wengi wetu tumejifunza kuwa makini. Mimi ni binadamu na kama kawaida ya binadamu, nakiri kukosea.
Namuomba pia msamaha Mwanakijiji kwa yote yaliyotokea kwa upande wangu. Inasikitisha kuwa muda mwingi sana ulipotea wa kujadili maisha ya watoto wanaokufa kwa magonjwa yanayotibika na badala yake ukatumika kumjadili mtu binafsi na mambo yake afanyayo sirini.
Masaa 24 yaliyopita yamekuwa mazito sana kuhimili. Naahidi tena kuwa sitatumia muda wangu wa thamani kujadili masuala ya binafsi na ya ngono za watu wazima.
Naomba msamaha na nategemea kusamehewa. Hata hivyo nitaelewa pia kama wengine watachukua muda mrefu kunisamehe. Nawakumbusha wale wanaofikiri kuwa mimi ni mwendesha mambo hapa JF kuwa sina hata hisa moja ya kumiliki au kuendesha JF ingawa nasikitika iwapo chombo hiki kitazidiwa nguvu kwa mambo ambayo nimesababisha mimi.
Kwa hili nawaomba msamaha rasmi Invisible na wenzake wanaofanya kazi hii bila kulipwa na yeyote. Invisible tafadhali sikiliza message yangu nimekuachia kwenye simu yako.
Asante, na naomba tuendelee kumkoma Nyani giladi hapa hapa JF.
__________________ Well Behaved Women Never Make History
Mwafrika wa kike is now asking President Kikwete to resign his presidency effective immediately for the sake of our nation
Waheshimiwa kumbukeni hii sio MSN/AOL/Yahoo Chat, hii ni forum ambayo watu wengi wenye muda mfupi wa kupita huku kwa muda then waendelee na shughuli zao wanakuja kuangalia mambo ya maana ya ujenzi wa taifa hili maskini kabisa...
Cha kusikitisha mmeamua KUBAKA na KUNAJISI na KUFISAD forum hii... Acheni jamani... mengine endelezeni kwenye PM, mtakubaliana tu!!! Hapa hamtakubaliana maana kuna watu wanatia chumvi..
Mzee Mwanakijiji
anawashangaa wanaoitetea sheria mbovu
JF Premium Member
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 18,446
Thanks: 8,421
Thanked 4,614 Times in 1,292 Posts
Rep Power: 44
si mmesikia yaliyosemwa kwenye Mkutano Mkuu.. ?
__________________ Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania"
Hivi kama mtu hutaki kusamehe si uache tu kumwaga emotions zako hapa?Na kama umesamehe si unakaa kimya?mbona tunapenda kufanya mambo madogo kuwa makubwa sana
mbona hasara yuko kimya???wasn't he supposed to apologize??if my memory is right huyu ndugu ndiye alianzisha hii habari ya picha za kikwete!!au yeye bado anashikilia wembe ule ule wa kuziweka??au yeye na mwafrika wa kike ni mtu mmoja??anamaanisha nini kukaa kimya??am curious!!
hasara vipi??una mtazamo gani???
Hizi picha si nzuri kuwekwa hadharani lakini ni fundisho tu kwa public figures wetu. Nakumbuka rais wa kwanza wa Czechoslovakia baada ya kutoka kwenye ukomunisti alisema kuwa"he has come to realise that for a public figure he can only enjoy his privacy in the toilet". Ni vema basi mtu anapofikiria kuingia kwenye siasa vema afagie njia yake huko nyuma au aache tabia hizo anapokuwa madarakani. There is always a price Tag.
Cha kusikitisha mmeamua KUBAKA na KUNAJISI na KUFISAD forum hii... Acheni jamani... mengine endelezeni kwenye PM, mtakubaliana tu!!! Hapa hamtakubaliana maana kuna watu wanatia chumvi..