| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 549
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......
Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini? |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Bei ni ndogo ukipita madukani hapa dar ni 3,700$ cash bila chenga. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Mimi sio mfuatiliaji wa Specs za computer/laptop; hii hapa chini nilikutana nayo kwa bahati tu nikiwa naperuzi website moja. Ukiacha Sony nadhani zipo laptop za bei ya juu zaidi. Hii haina Bluray wala SSD (Solid State Drive), components ambazo nasikia bei yake iko juu. VAIO TT Series VGN-TT280N/B Notebook Computer Price: Tsh. 2,730,000 (Ukiinunua bongo, bei itakuwa zaidi) VAIO TT Series VGB-TT298Y/B Notebook Computer Price: $4,200 sawa na Tsh. 5,460,000 (Ukiinunua USA) |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Naomba nikiri kosa, comment yangu niliitoa kwa kudhani ThinkPad anazungumzia bei; kwani yeye anazungumzia uwezo wa mashine. We hope to hear more from you ThinkPad kuhusu uwezo wa hicho kifaa. Graphic designers mate yanawatoka wakiona hiyo picha ![]() Unafanya vyema kuuza vitu vipya. Kuna watu wanakusanya used computer USA wanasafirisha kuleta bongo wakati (USA) kuna vifaa vipya kwa bei poa sana; wangenunua badala yake. Ni ufahamu mdogo tu wa wauzaji pamoja na watumiaji, kwani bongo mahitaji ya computer for heavy professionals yapo.Utakuta mtu analalamika computer ni slow (kwa kazi zake) japo ni mpya, asijue kwamba anatumia computer isiyo na uwezo wa kutosha. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Wakuu wakni ASUS zina ishu gani?
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 02:08 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||