| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 321
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Jamani, hakuna wataalamu wa umeme humu?
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu Dingi, pole kwa jibu lililochelewa kidogo.Fanya mahesabu kidogo ya matumizi yako ya umeme.
Una taa ngapi? taa ya kawaida ni watts 40, kwa hiyo kama una taa 10--400watts Friji yaako inatumia umeme kiasi gani? nyingine ni 500watts Je una pasi? 1000watts Jiko la plate ngapi? kama ni mbili kila moja 1000watts 2000watts TV na radio zina matumizi madogo, kama 300watts Hivyo basi jumla ya matumizi 4200watts Hivyo basi unashauriwa kununua jenereta kubwa kidogo kuliko matumizi yako ya karibu 5000-6000watts(au 5-6Kva) single Phase |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Lakini Dingi, kwanini usiweke solar mkuu?, garama ya genereta, = running cost zake na risks hasa kama watumiaji si makini, kwa solar ungepeta zaidi. Uzuri wa soalar kama huna pesa ya kutosha unaweka ya kuazia then unakuwa unaendelea iongeza jinsi unavo pata pesa, haina risk za kulipuka, wala kuishiwa mafuta. |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Solar electricity ni nzuri sana kama utakuwa na matumizi madogomadogo, lakini kwa matumizi yote aliyotaja Dingswayo siyo rahisi au vinginevyo utaingia gharama kubwa zaidi pengine kuliko hata generator. Mwenye swali au ufafanuzi kuhusu masuala haya ya umeme aniulize. |
||||||||||||
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hakika mimi sio mtaalamu wa umeme. lakin suala la kutumia solar Tanzania ni risk sana hususan wakti a maintanace.
Hakika solar ni expensive sana kufanya maintanance. nakushauri tumia generator itakusaidia sana na nakushauri tafuta generator ambao spares zake zipo available huko Tanzania |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kwa kawaida Tanesco wanafanya rating kwa wateja wa nyumba za kuishi yani Domestic Customers kuwa 3kW. Hii mara nyingi inakuwa ni single phase. Kwa wewe unaehitaji Generator ningependa kujua application zako ziko vipi? Je ni continuous load au utakuwa unaitumia intemittently kama standby unit? Kwa mahesabu ya hapo juu ni dhahiri kwamba unaweza kuchagua generator yoyote kwenye range ya 4-6kVA. Meaning with 4kVA utakuwa unaitumia hii Generator at almost 95% of its capacity ila for future expansion i advise ujaribu kuchukua 6kVA. The most important thing in buying these machines is the spareparts/after market support. Be sure of these issues when you buy any machine even cars cos the core business of any supplier of machines is not in the price of the machine but rather in the service and spareparts they sell after you buy the unit. Also things like warranty should be clear. I hope you got at least somewhere to start. If you have any queries you are welcome, you can PM or just add a post!!
__________________
It is not the strongest species that survive, nor the most intelligent, but the ones most responsive to change - Charles Darwin |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Asante sana nashukuru sana. Idumu JF!
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
__________________
It is not the strongest species that survive, nor the most intelligent, but the ones most responsive to change - Charles Darwin
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 04:52 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||