Matangazo madogomadogoMatangazo ya misiba, mikutano n.k yawekwe hapa.
ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
We are ready to deliver at their doors especially for those in Dar, Mwanza and Arusha. The minimum order for "Door-to-Door" delivery is one box (12 jars)
Kuna wezi wa nembo/trademarks ile mbaya,nawapongeza sana kwa kazi nzuri. Kuweni makini na udhibiti wa nembo msije mkaishia kuuza asali ya wenzenu.
Asante sana.
Tumejidhatiti kutofuata njia ya kitamaduni ya kutafuta fimbo baada ya kuumwa na nyoka. Tuko makini lakini hasa katika kuwapa walaji vyakula bora na salama kwa afya zao.
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
Sanjara: Hizi chupa zina uzito kiasi gani? Isijekuwa uzito wa chupa tupu ni sawa na asali yenyewe! Kuna tofauti yoyote kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na mwekundu? Mojawapo yaonekana kama nyeusi zaidi?
Kwa wanaoijua asali; hizi zinazouzwa mtaani mfano ujazo wa lita 1, ikikaribia kuisha inakuwa imeganda, hii ni sehemu ya asali au inakuwa ni kitu gani? Au ndo Made in China?
Nameless-,
Hizi chupa hazichangii hata 3gm ya ujazo. Na tumezingatia Sheria ya Vifangashio na Lebo ya TFDA pamoja na zile Directives za TBS. Kwa kila chupa tumeweka ujazo wa ziada kama gramm tano.
Kuna tofauti kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na ile iliyo na mfuniko mwekundu. Mfuniko wa blue ni asali ya maua ya Miombo (ndiyo maana ni nyeusi) wakati ile ya mfuniko mwekundi ni Wild flowers (M'n'gamana) ndiyo maana ni nyeupe. Hizi ni Branding technics za kawaida ili mteja aweze kutofautisha kiurahisi kama ulivyong'amua haraka.
Asali ya M'n'gamana kama alivyosema semilong inawahi kuganda. Unaruhusiwa kuuliza zaidi.
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
Well done! just as a suggestion to your promotion season try parking your open market at some hospital gates eg PASADA, MNH also some congregations that have a lot of members with high consumption of Honey for medicinal use. I used to see retailers of honey bringing it to my church at WAPO Mission - just an idea,
Hizi chupa hazichangii hata 3gm ya ujazo. Na tumezingatia Sheria ya Vifangashio na Lebo ya TFDA pamoja na zile Directives za TBS. Kwa kila chupa tumeweka ujazo wa ziada kama gramm tano.
Kuna tofauti kati ya asali ndani ya chupa yenye mfuniko wa blue na ile iliyo na mfuniko mwekundu. Mfuniko wa blue ni asali ya maua ya Miombo (ndiyo maana ni nyeusi) wakati ile ya mfuniko mwekundi ni Wild flowers (M'n'gamana) ndiyo maana ni nyeupe. Hizi ni Branding technics za kawaida ili mteja aweze kutofautisha kiurahisi kama ulivyong'amua haraka.
Asali ya M'n'gamana kama alivyosema semilong inawahi kuganda. Unaruhusiwa kuuliza zaidi.
Mkuu SH,
Safi sana kwa kuchukua hatua na kufanya jambo la maana namna hii. Siku zote nawaheshimu watu wanaofanya mambo yakaonekan na siyo kulalamika au kuwa na njozi za kusadikika. Nafagilia sana ujasiri na ubunifu wako, na nitakuwa mmoja wapo wa wateja wa bidhaa zako. Ombi langu kwako ni kuwa mjitahidi kutuuzia asali na siyo kanyabwoya ya Karikakoo/Kongo kwani watanzania tumezoea sana kila kitu kufanyika ki-Bongo Darisalam! Kila la heri na kaza buti!
Remember one thing, when you buy from the shop, the price might be higher to that indicated by Tshs 700-900. This is to cover their operation cost plus profit margin.
I will remember, but other customers will be confused....
Agree with them the retail price na uhakikishe bei ya kwenye lebo ndio hiyo inayouzwa au usiweke bei kwenye lebo ya bei kabisa waacha wenye maduka waweke sticker zao za bei...
haya ni mawazo tu SH....
keep it up
__________________ You can not keep 40m people quite forever....
one year one month one day they will wake up..........
hongereni Sanjara,
vipi mmeshafikiri kuwa na website yenu.....ili kuitangaza product yenu kila kona ya dunia hii ya leo.......
Ndiyo tumefikiri hilo suala. Tunajadili na nguli wa E-commerce websites kutoka Jamii Media Inc ili tukifikia muafaka watutengenezee tuweze kufanya online transactions.
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
I will remember, but other customers will be confused....
Agree with them the retail price na uhakikishe bei ya kwenye lebo ndio hiyo inayouzwa au usiweke bei kwenye lebo ya bei kabisa waacha wenye maduka waweke sticker zao za bei...
haya ni mawazo tu SH....
keep it up
Noted and Thanx.
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets
Safi sana kwa kuchukua hatua na kufanya jambo la maana namna hii. Siku zote nawaheshimu watu wanaofanya mambo yakaonekan na siyo kulalamika au kuwa na njozi za kusadikika. Nafagilia sana ujasiri na ubunifu wako, na nitakuwa mmoja wapo wa wateja wa bidhaa zako. Ombi langu kwako ni kuwa mjitahidi kutuuzia asali na siyo kanyabwoya ya Karikakoo/Kongo kwani watanzania tumezoea sana kila kitu kufanyika ki-Bongo Darisalam! Kila la heri na kaza buti!
Dark City,
Naweza kukupa contacts za watu waliokwisha tumia bidhaa zetu toka tuna anza na wamekuwa Royal customers kila mara wanafanya repeat purchases toka kwetu ili wakuthibitishie kuwa tunachokisema na tunachokiandika kwenye lebo ndicho kilichomo ndani. Hii ni asali halisi kabisa kabisa.
__________________
Sanjara Honey is Purely Organic Produced in Itigi Thickets