Matangazo madogomadogoMatangazo ya misiba, mikutano n.k yawekwe hapa.
ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya Ngurumo ya Upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya Tanganyika pakers Kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, Mtumishi wa Mungu Geor Davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?
__________________ Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
nawakaribisha kwenye ufunguzi wa huduma ya ngurumo ya upako hapa dar es salaam, itafanyika kwenye viwanja vya tanganyika pakers kawe, na ibada zitakuwa zinaendelea hapo kila jumapili, mtumishi wa mungu geor davie atakuwepo kukuhudumia.
Mimi ni muumini wa kanisa hilo nawakaribisha sana mje muone ukuu wa bwana.
kwanini mhehama arusha wakati bado mnahitajika sana?/
nadhani dar kuna wahubiri wengi sana,
mngekaa arusha mngewalisha zaidi kondoo wa bwana
__________________
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
kwanini mhehama arusha wakati bado mnahitajika sana?/
nadhani dar kuna wahubiri wengi sana,
mngekaa arusha mngewalisha zaidi kondoo wa bwana
arusha ipo na mwanza na hapa Dar pia, siyo lazima yeye awepo ndo huduma iendelee kuna wachungaji na wainjilist wanaendeleza huduma na siyo kila mara yupo dar, hata yeye asipokuwepo bado injili inaendelea..
ushauri wa bure:tafuteni mtu awatengenezeeni website jamani hiyo sijui ni kitu gani mmeweka hapo.
Asante, ushauri kama huo unafanyiwa kazi, tumeambiwa tutoe maoni kama kuna kasoro zisemwe waziwazi, nini kitolewe na kiongezwe, lakini pia ipo kwa majaribio, itafanyiwa marekebisho kutokana na maoni ya watu
Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?
Unapomtafuta Mungu, kwanza unatakiwa nia ya kumpokea Yesu na kubadili matendo yako, unapoenda kwenye ibada au maombi kwa nia ya kutafuta mchumba, nakuhakikishia ndugu yangu hutapata. Biblia inasema , mtafuteni kwanza Mungu kwa bidii na hayo mengine mtazidishiwa.

nashukuru kwa ushauri wako mzuri...nitaufanyia kazi .
__________________ Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
Hakuna ndoa isiyokuwa na migongano, ukiacha yule ni mtumishi wa Mungu lakini pia ni binadamu siyo malaika,
Hajaachana na mke wake wanaishi naye na wala hawana ugomvi, kama ulisikiliza kama wiki tatu zilizopita alihojiwa na Wapo radio na akaulizwa swali hilohilo akalitolea ufafanuzi, kwamba anaishi na mke wake vizuri hata wakitaka ampigie simu waonge naye.
Joyceline asante sana kwa kutukaribisha,mimi nina shida kidogo,shida yenyewe ni natafuta mchumba mwema, naimani nikija hapo nitapata kufunuliwa.je nikifika hapo nitakuonaje?
Joycelin unaweza ukawa ni wewe tuliyekutana Kyela nyumbani kwa mwenyekiti wa CCM Mzee Mwakasumi au majina tu yamefanana?
Kama ni wewe mimi ni"mwanao"wa pale Kyela-Bondeni ambaye niliyeondoka Kyela kwa"sababu za kisiasa"
Nijulishe!