| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 626
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu;
Mbona hiyo bei kwa nyumba inayoonekana haviendani. I bet kwa Ujenzi wa Segerea/Kinyerezi haipiti hata TZS 80 Million. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Fall in love with a location. Hiyo nyumba ipo katika eneo zuri sana. Ok ukijenga kwa milion 80 kiwanja umenunua shs ngapi? kiwanja kimoja cha mita za mraba 1200 kinauzwa sh 25 wa30 milioni. Pale kuna viwanja viwili. Upo hapo?
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hiyo Nyumba maximum ni Million 100. Period! tena kiwanja ndo inaikuza bei
__________________
A positive thinker! |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Watu wana flip bongo, duh!
__________________
The Singularity is Near. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wanataka super profit!
Hiyo nyumba kwa kweli kwa bongo unaijenga kwa 70 to 80m na zaidi inategemea finishing ya ndani, kiwanja chake bomba ila bei mmmhhhhhh!
__________________
A positive thinker! |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Kweli Mkuu; Nina Sister wangu yuko yuko UK ana nyumba yake maeneo hayo ya Segerea lakini ni semi Finished. Ina rooms 4 na garage na Juu kuna kigai cha Nabaki Africa nadhani cha SA. Yeye anaiuza hata Million 100 haifiki. Actually Mimi Mtu akinipa hiyo Million 100 I can assure anajenga nyumba katika kiwanja kama muuzaji anachosema na kwa ubora wa juu zaidi. |
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
He who laughs last thinks slowest! |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
"Mwisho wa siku" Bei si hoja!! Ni mteja atayeamua nyumba yako ina thamani gani na kiasi gani anaweza kulipa.
__________________
“An advantage of poverty, your relatives gain nothing by your death” ...Hebrew's quote
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 09:06 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||