| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 290
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Sitaki kuamini hata kidogo kuwa hakuna aliyewahi kusoma au kusikia juu ya kitabu hiki.
Msaada jamani!! Lol.. |
|
#3
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Tupo. Huyo ni David Maillu ambaye pia alitunga 'After 4.30', 'Unfit for Human Consuption', 'My Dear Bottle' 'One by One' na vingine vingi ambavyo nimevisahau kidogo. Hivyo nilivyotaja hapo vilipigwa marufuku na serikali ya Tanzania kwenye miaka ya 70 kutokana na sexual content zake! Kuhusu namna ya kukipata natumaini wengine watajazia. |
|||||||||||||||
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Yes, ni David Maillu, Hata mimi navitafuta sana hivyo vitabu, naungana na Mkuu Bazobonankira, mwenye kujua jinsi ya kuvipata atoe msaada pls!
__________________
"Speed in a wrong direction is irrelevant" - M.Ghandi |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Babadeci, nimekukubali mkuu. Wallah sikuweza kumbuka kabisa jina la mwandishi wa kitabu hiki. Thanks a lot babake.
Pia by now nimeweza kupata site yake David Gian Maillu - Home . Sote sasa tunaweza pitia na kufahamu mengi zaidi juu yake na kazi zake. Sasa naingia porini kusaka nyoka, I hope in few days nitaweza kupata nakala ya kitabu hiki kutoka kwa wadau fulani fulani hapa town. Punde ntakapokipata, ntajaribu kushea na wadau wote baadhi ya interesting pages from the book. Wasalaam!! |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Pengine, huenda kuna mtu/watu ambao wangependa kumuandikia na hata kumpigia simu na kuuliza juu ya machapisho pamoja ja vitambu mbalimbali vilivyopata kuleta msisimko wa kipekee! kazi kwenu!!
P O Box 20019-00200 City Square Nairobi, Kenya (EA) Tel 254 20 2437864 Cel 254 729 505203 E maillu@davidgmaillu.com |
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:00 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||