| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 755
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Je unaweza kutupa rate za kutangaza kwenye Jamii forum,nimewahi kuuliza lakini sikujibiwa.Nakuomba utufanunulie ni jinsi gani ya kutangaza hapa,I mean gharama na methods of payment.
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kwenye tuta
Mwaka umeshakuwa mzee JF admins..... |
|
#4
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
|
Dear JAY2da4,
Asante sana kwa kuonyesha nia ya kutangaza kupitia jamvi la Jamii. Nakuhakikishia hutojutia uamuzi wako. Kuna mambo tunahitaji kuyajua kabla ya kukupa bei. Miongoni mwa mambo hayo ni ni ukubwa (size) wa tangazo, Nani ata originate (asisi) tangazo, mahali (chumba) gani ndani ya JF kinakufaa kuweka tangazo lako. Kwa sababu lengo ni kuitangaza shughuli/biashara yako kwa ufanisi. Hatungependa kuweka Kiwango (pesa) Mbele, Ufanisi Nyuma. Kawaida tunapenda tushauriane na mteja, tufanye kazi, aone mabadiliko na ufanisi kisha aridhike. Tuko tayari kutuma timu ya wataalamu wetu wazungumze nawe. Tafadhari nitumie Anwani yako na jinsi ya kukutana nawe kibiashara. Unaweza kutuma kwa:
|
|||||||||||||||
|
#5
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
|
I have to make things clear:
We've these advertising campaigns at JF: Premium Campaign (Home Page Header, Forum Pages Header, Thread Page Header, Before Last Post footer) 728 X 90 Pixel **PRICE TO BE REQUESTED** Per Month (When this package is selected all other campaigns are stopped and you become the only advertiser in the whole forums) Full Campaign (Home page header, Forum Pages Header, Thread Page header) Size: 728 X 90 Pixel =**PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying] Half Campaign (Home page footer, Forum Pages Footer, Thread Pages After First Post) 728 X 90 Pixel = **PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying] Quarter Campaign (Home Page Only) 468 X 60 or 728 X 90 Pixel = **PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying] We offer you 1 week(s) in excess for each month. Anyone interested with the prices has to contact:
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|||||||||||||||
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mie nataka kuweka Matanzangazo ya kupigia kampeni Chama cha Mapinzuzi kwa Mwaka 2010.
Je mko tayari kupokea pesa Yangu kwa jili ya kazi hiyo? Na hata kama mko tayari nitalipia Premium Campaign kwa ajili ya uchaguzi wa Mbeya Vijijini? Inawezekana?
__________________
As long as I am leader, Our position is not going to change from that of our forefathers. I do not want the responsibility for selling the rights of our children yet unborn |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
![]()
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
As long as I am leader, Our position is not going to change from that of our forefathers. I do not want the responsibility for selling the rights of our children yet unborn |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hii imelala tuuu
__________________
I love what i do and i do it with a passion. |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
asee ok mkuuu sasa inakuwaje mimi nina autocad 2010 je naweza kupata wateja
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 10:46 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||