Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

  • Sticky
Hallow wana JF, weka bei, picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
63 Reactions
17K Replies
2M Views
  • Sticky
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
27 Reactions
7K Replies
1M Views
  • Sticky
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo, Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara. Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa...
39 Reactions
87 Replies
55K Views
  • Sticky
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu. Simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia...
64 Reactions
334 Replies
142K Views
  • Sticky
Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya...
80 Reactions
451 Replies
121K Views
  • Closed
  • Sticky
Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF, Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni. Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza...
7 Reactions
102 Replies
89K Views
Nina swali muhimu, kuna mmasaai yeyote yuko UK anataka dili la ku-shoot tangazo? Kama vipi ni-PM, nitawasiliana zaidi wikiendi kama mambo poa. Sitaki mmasai feki.......dili ni 50/50 nasubiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba Inauzwa. Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda. Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom. Eneo Sqm 135.73 Ina leseni ya makazi. Bei Milioni 85 Karibu sana mteja...
5 Reactions
23 Replies
341 Views
Nauza taa za solar wakubwa karibuni sana WAPENI HIZI #WATUMISHI ZA SOLAR ZINA SESOR YA MTU AKIPITA INAWAKA ZINA SENSOR YA KUJIWASHA GIZA LIKIINGIA KWA MATUMIZI BALAZANI , KWENYE FENSI &...
1 Reactions
10 Replies
149 Views
Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5...
23 Reactions
177 Replies
10K Views
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
23 Reactions
472 Replies
71K Views
IPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable 35,000/= Rejareja 16,000/= Jumla Free delivery ndani ya Dar es Salaam Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911
0 Reactions
2 Replies
84 Views
karibuni HUDUMA YA KUHAMA, mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mkoani. Huduma zetu ni pamoja na; [emoji117]kufunga na kufungua vitu tunapofika unapohamia [emoji117]kupanga vitu mahala pake...
12 Reactions
387 Replies
10K Views
Habarini waungwana simu aina ya samsung mpya kabisa ipo sokoni inauzwa 2.6M 512GB/12GB RAM LOCATION: Mwanza
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
2 Reactions
63 Replies
1K Views
Tupigie tuje kukutengenezea Laptop/Desktop iwe Mac au Windows PC Ofisini/Nyumbani. Pia Tunauza Spare za Laptop/Macbook kama Batteries Chargers Keyboard Housing Hdd/SSD/Ram Memories Softwares...
0 Reactions
3 Replies
42 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
885 Replies
22K Views
UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha...
13 Reactions
258 Replies
39K Views
Habari wakuu! Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali...
13 Reactions
71 Replies
1K Views
Zimejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1405 Kiwanja kimepimwa na kina Hati Miliki. Nyumba zinafikika. Kiwanja kimezungushiwa uzio kwa matofali. Huduma ya umeme na maji zipo...
0 Reactions
4 Replies
128 Views
Tupigie tuje either Nyumbani au ofisini tuje kukuchekia Computer yako kama ni mbovu, Pia Tunauza Spare za Laptop na Desktop aina zote, Keyboard za Laptop Battery za Laptop/Desktop Charger za...
1 Reactions
0 Replies
29 Views
Oppo A83, full box 140000. Oppo A83,bila box 120000. Oppo A57,full box 125000. Oppo A57,bila box 110000. Oppo A37,full box 110000. Oppo A37,bila box100000. Nokia 105,106 Full box bei ya jumla...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
✨ Takribani miaka 10 imepita tokea Dunia ipokee ugunduzi wa mjasiriamali mmoja Bw Jamie Siminoff . Yes ilikuwa mwishoni mwa Mwaka 2013 video door bell ya kwanza ilivogundulika na kuingizwa sokoni...
0 Reactions
4 Replies
169 Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8. = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
2024 | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata...
78 Reactions
5K Replies
563K Views
Back
Top Bottom