JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Eid-Mubarak

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Eid-Mubarak

   Eid-Mubarak

   Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akbar,

   Laa ilaaha illallahu Wallahu Akbar, Kabira Allahu Akbar, Wa lillahil Hamd

   Wishing you and your family a Happy and peaceful Iydul- Adhwhaa!!!

   May Allah accept your good deeds.
   Forgive our transgressions and ease the suffering of all people around the Globe...

   Eid Mubarak!!!
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  2. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Eid-Mubarak

   Tunamuomba Allah azikubali amali zetu, azikubali funga zetu, azikubali sala zetu, atuzidishie imani na mapenzi ya dini yetu, atusamehe makosa yetu tuyajuwayo na tusiyoyajuwa.

   Tunamuomba Allah awape nusra waislam popote duniani, awape nusra waislam wadhaliliwao, wadhulimiwao na wateswao. awape wao ushindi na sisi kwa jumla.Ushindi utakaowatia watu katika dini yake makundi kwa makundi.

   Tunamuomba Allah atuunganishe na sio tutengane, atupe mapenzi baina yetu na sio tuchukiane na atuepushe, atuepushe na unafiki na wanafiki pia.

   Yaa Rabb tia kwenye nyoyo zetu imani iliyo ya kweli ifanane na vitendo vyetu na iyowane na fikra zetu.

   Yaa Rabb twakuomba utuongoze katika njia iliyonyooka, njia ya wale uliyowaneemesha na sio ya wale uliyowaghadhibikia au ya waliyopotea.

   Tunakuomba Yaa Rabb utujaaliye uwezo wa kufanya uliyotuamrisha na kuyawacha uliyotukataza, tujaaliye tuwe ni wenye kuamrishana mema na kukatazana mabaya.

   Twakuomba Yaa Rabb uviongoe vizazi vyetu, uzipambe nyoyo zao kwa imani na namapenzi ya dini ya Kiislam, uwape ujuzi wa kupambanua baina ya haki na batil na uwaondoshee khofu dhidi ya maadui wa Uislam.

   Yaa Allah wasemeh na warehemu wazazi wetu waliyo hai na waliyotushatutangulia.

   Yaa Allah tukubalie dua zetu...AMIN

   TUNAWATAKIA KILA LA KHERI

   EID MUBAARAK
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)

  3. #3
   Jafar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2006
   Location : Msoga, Chalinze
   Posts : 1,247
   Rep Power : 1027
   Likes Received
   21
   Likes Given
   0

   Default Re: Eid-Mubarak

   Amina
   " ... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ... " (Godbless Lema, MB)

  4. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 16,103
   Rep Power : 85937919
   Likes Received
   4348
   Likes Given
   7806

   Default Re: Eid-Mubarak

   Amina
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  5. #5
   Mroojr's Avatar
   Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Posts : 64
   Rep Power : 575
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: Eid-Mubarak

   BAKWATA badilikeni dhima ya waislam wote Tz iko mikononi mwenu. Kote duniani watu wameswali Idd kwa kuungana na wenzao walioko Makkah ktk hijja halafu nyie bakwata mnawatangazia waislam wa Tanzania kuwa kesho ndio Idd kwa kuungana na akina nani? Hao watu wa bakwata walioenda hija nao hawajaswali na wenzao leo huko makkah wanasubiri kesho?. Kimantiki haileti maana yoyote. Idd hii ni ya mahujaji iweje nyie msiungane na waliko hija? Kijiografia pia inakataa Tanzania na Saudi Arabia hazipishani hata sekunde moja ktk hesabu ya wakati,iweje tupishane siku nzima ktk kuswali idd? Ni mambo ya wazi sana ambayo Bakwata haitaki kuufahamisha umma wa watz. Hata nyie watanzania pia ninyi badilikeni akili za kuambiwa na bakwata changanyeni na zenu mtajikuta mnaswali idd pamoja na waislam wote duniani.

  6. gutierez's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2010
   Posts : 1,254
   Rep Power : 840
   Likes Received
   135
   Likes Given
   209

   Default Re: Eid-Mubarak

   Kesho ni siku ambayo tunaungana na waumini wa dini ya kiislamu kusherekea sikukuu ya idd el haji
   Nawatakieni Idd njema Watanzania na wanachama wote wa JF

  7. gutierez's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2010
   Posts : 1,254
   Rep Power : 840
   Likes Received
   135
   Likes Given
   209

   Default Re: Eid-Mubarak

   Quote By Mroojr View Post
   BAKWATA badilikeni dhima ya waislam wote Tz iko mikononi mwenu. Kote duniani watu wameswali Idd kwa kuungana na wenzao walioko Makkah ktk hijja halafu nyie bakwata mnawatangazia waislam wa Tanzania kuwa kesho ndio Idd kwa kuungana na akina nani? Hao watu wa bakwata walioenda hija nao hawajaswali na wenzao leo huko makkah wanasubiri kesho?. Kimantiki haileti maana yoyote. Idd hii ni ya mahujaji iweje nyie msiungane na waliko hija? Kijiografia pia inakataa Tanzania na Saudi Arabia hazipishani hata sekunde moja ktk hesabu ya wakati,iweje tupishane siku nzima ktk kuswali idd? Ni mambo ya wazi sana ambayo Bakwata haitaki kuufahamisha umma wa watz. Hata nyie watanzania pia ninyi badilikeni akili za kuambiwa na bakwata changanyeni na zenu mtajikuta mnaswali idd pamoja na waislam wote duniani.
   Ni kweli kwa mujibu wa hapa inaonyesha sikukuu ni leo
   Muslim holidays - Wikipedia, the free encyclopedia
   lakini hapa inaonyesha sikukuu ni kesho
   Eid al-Adha - Wikipedia, the free encyclopedia
   hii sikukuu wanaiita Eid al Adha(idd el haji)
   ila kuna mahesabu wanafanya jinsi ya kuwa sikukuu itakuwa lini
   http://en.wikipedia.org/wiki/Islamic_calendar
   nenda chini ktk convert Hijri to Gregorian year or Gregorian to Hijri year
   Gregorian ni kama leo 16 novemba 2010,Hijri ni calender ya kiislam eg leo mwezi Dhū ’l-Hijja 1431 mwezi wa mwisho hadi tarehe 07 desemba 2010 ndio mwaka mpya wa kiislam 1432,kuna hesabu wanafanya eg zimebaki siku ngapi kumaliza mwaka wanaupeleka ktk Hijri calender inakuwa inaendana au makadirio na siku fulani,sasa ndio inagongana ikifutwa ya Saudi Arabia inaonyesha sikukuu ni leo leo kimakadirio ya karibu hapo sasa mahesabu na dunia inaangaliwa sehemu kubwa eg zimetofautiana saa/siku wanaamua wengi wape au mwenye sauti inaamuliwa na wengi sikukuu kesho,kwahiyo tusiwalaumu sana BAKWATA japo sawa una point Saudi Arabia tupo nao sawa,ni sawa mahesabu ya makadirio ukiwa ktk nchi zilizoendelea au hata ktk malls eg Mlimani City nikitolea mfano nchi yetu mkate labda natolea mfano ni USD 0.99 kwenye pale point of sale labda ktk nchi hiyo senti moja haitumiki atakadiria bei ni USD 0.95 ili akurudishie change senti 5 kama ulitoa USD 1,au nchi zingine/sehemu zingine/maduka mengine yeye atakukadiria ni USD 1 change hairudi,kwahiyo ndio kama mabo haya yanapotokea hivyo usilaumu sana haiwezi kuenda sawa kabisa nikiazima kamusi wanasema exactly.
   Last edited by gutierez; 16th November 2010 at 18:40.

  8. gutierez's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2010
   Posts : 1,254
   Rep Power : 840
   Likes Received
   135
   Likes Given
   209

   Default Re: Eid-Mubarak

   Kwa mujibu wa Fatwa Online,inasema wamefanya hesabu zao sikukuu ya Idd El Haji ni leo na hata sasa hivi ukigonga hapa inaonyesha sikukuu ni leo eid al adha
   Eid al-Adha - Wikipedia, the free encyclopedia

  9. #9
   Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 21,961
   Rep Power : 429501435
   Likes Received
   14220
   Likes Given
   11819

   Default Re: Eid-Mubarak

   Eid Mubarak to you too...ustaadh
   Life is too short to waste time hating anyone.........

  10. hashycool's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2010
   Location : network search....
   Posts : 5,558
   Rep Power : 1709
   Likes Received
   784
   Likes Given
   267

   Default Re: Eid-Mubarak

   Quote By Mroojr View Post
   BAKWATA badilikeni dhima ya waislam wote Tz iko mikononi mwenu. Kote duniani watu wameswali Idd kwa kuungana na wenzao walioko Makkah ktk hijja halafu nyie bakwata mnawatangazia waislam wa Tanzania kuwa kesho ndio Idd kwa kuungana na akina nani? Hao watu wa bakwata walioenda hija nao hawajaswali na wenzao leo huko makkah wanasubiri kesho?. Kimantiki haileti maana yoyote. Idd hii ni ya mahujaji iweje nyie msiungane na waliko hija? Kijiografia pia inakataa Tanzania na Saudi Arabia hazipishani hata sekunde moja ktk hesabu ya wakati,iweje tupishane siku nzima ktk kuswali idd? Ni mambo ya wazi sana ambayo Bakwata haitaki kuufahamisha umma wa watz. Hata nyie watanzania pia ninyi badilikeni akili za kuambiwa na bakwata changanyeni na zenu mtajikuta mnaswali idd pamoja na waislam wote duniani.
   daaah sie tusha swali leo wakuu!
   the safest place to hide from the police is the police station!

  11. #11
   GFM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2010
   Location : Mbamba Bay
   Posts : 705
   Rep Power : 712
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Eid-Mubarak

   Mufti Xpaster........... nalfaidhina ...........Eid Mubarak to you too !! Mola akujalieni yote mliomwomba..........
   If I am not for myself, who will be for me? And if I am only for myself, what am I? And if not now -- when? -- Hillel

  Similar Topics

  1. ¤¤¤Eid Mubarak¤¤¤
   By Salma osman in forum JF Chit-Chat
   Replies: 1
   Last Post: 31st August 2011, 06:43
  2. Mubarak's out
   By X-PASTER in forum International Forum
   Replies: 24
   Last Post: 31st January 2011, 10:50
  3. *** eid mubarak ***
   By It is Sur_Plus in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 10
   Last Post: 17th November 2010, 01:55
  4. Eid Mubarak !!
   By Original Pastor in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 19
   Last Post: 10th September 2010, 22:12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...