Wakati najiandaa kupost kuhusiana na kinywaji ch mountain dew,nikagundua kuna makala yenye kufanana nayo hivyo nimeamua kuunganisha hapa.Taarifa ambazo hazijadhibitishwa ni kwamba Mountain Dew ni kampuni binafsi ambayo imeamua kuingia ubia na pepsi ili kupata soko kirahisi hapa nchini.Habari zaidi ni kwamba kampuni hii ilianzia kule Uganda na baadaye Kenya,lakini katika nchi hizo zote kinywaji hicho kilipigwa marufuku.Inasemekana kuwa kinywaji hiki kina athari kubwa sana kwa sababu ya sukari nyingi kupita kiasi,na kuwa na madhara kwa wanaume katika mambo ya mapenzi.Mimi mwenyewe kwa kuwa si mnywaji wa pombe,nilibugia chupa za kutosha za kinywaji hiki weekend kabla ya mdogo wangu aliyesoma Uganda kunitonya kuhusiana na athari zake.
Pamoja na hayo inashangaza ni kwa jinsi gani TBS isivyo makini kwa afya za watanzania.Kwakuwa lengo langu ni kuokoa maisha ya watanzania,habati hii isichukuliwe kama ukweli usiopingika,badala yake mwenye ukweli au taarifa toafauti atujuze.
Nishasikia hata Maji ya dasani uko London yalipigwa marufuku. Mkuu kama unategemea TBS 100% utapotea sasa hivi
Arusha ni mwanga wa TUMAINI jipya
soda ya haina yoyote sio nzuri kwa afya yako.
"Nobody has enough talent to live on talent alone. Even when you have talent, a life without work goes nowhere". A. Wenger
Don't Do the Dew
Mountain Dew is one of America's most popular soft drinks, finishing just behind Coca-Cola Classic, Pepsi-Cola and Diet Coke in sales in 2007. Its product is currently expanding rapidly, with new flavors Baja Blast,
Code Red, LiveWire and many others being added in recent years. Simply put, Mountain Dew is on the rise, and so are its serious health concerns.
To start with Mountain Dew contains High Fructose Corn Syrup, a sugar substitute that many believe is worse for you than regular sugar. In high doses it can cause such serious health problems as obesity, migraines, lowered immune function, gallstones, and cardiovascular disease; just to name a few. Again, most people understand that high quantities of sugar are not good for you, but then how do you defend consuming 46g of it in a 12 oz can of Mountain Dew?
Another ingredient of Mountain Dew is the relatively innocent looking food dye Yellow 5 or Tartrazine. Yellow 5 might cause behavioral problems in children and can cause allergic reactions. Who would have thought that a food dye could have such adverse effects?
Before I get to the really scary ingredients, I would like to mention some others that have less serious health risks or are just plain nasty. Citric Acid can rot away your teeth if consumed in large enough quantities, which isn't surprising, since it's an acid. Caffeine (and Mountain Dew has a lot of it)is an addictive substance that can have serious withdrawal symptoms and can even produce some mild psychiatric disorders for those who are addicted to it. Gum Arabic doesn't really have any worrying side effects, but it is a key ingredient in shoe polish, and is used sometimes in postage stamps and some watercolor paints. Doesn't sound tasty to me!
soda zote kaa nazo mbali kwa usalama wa afya yako.
"Nobody has enough talent to live on talent alone. Even when you have talent, a life without work goes nowhere". A. Wenger
sasa hawa TBS ni kuangalia viwango au mlungula????????????????
Jino kwa Jino
Follow Us Here