Habari wanajf,mimi ni mkulima wa alizeti,
sijawa na uwezo wa kununua mashine ya kukamua alizeti.
Sasa ningependa kufahamu hizi mashine naweza kuzipata wapi ktk mikoa ya morogoro na Dar,
na bei zake, wanakamua sh.ngapi kwa kilo?