JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ramani za nyumba

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. KIWONDEF's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2013
   Posts : 56
   Rep Power : 444
   Likes Received
   12
   Likes Given
   11

   Default Ramani za nyumba

   Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,v ibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
   kwa mawasiliano zaidi
   0713450840
   [email protected]
   [email protected]

   TUJENGE PAMOJA
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	first floor plan gorofa.jpg 
Views:	236 
Size:	73.0 KB 
ID:	100781   Click image for larger version. 

Name:	2.jpg 
Views:	212 
Size:	4.96 MB 
ID:	100782   Click image for larger version. 

Name:	nyumba ya kawaida plan.jpg 
Views:	283 
Size:	76.1 KB 
ID:	100783   Click image for larger version. 

Name:	four.jpg 
Views:	261 
Size:	5.03 MB 
ID:	100784   Click image for larger version. 

Name:	two.jpg 
Views:	268 
Size:	4.79 MB 
ID:	100785  


  2. K.Msese's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2012
   Posts : 1,119
   Rep Power : 85943013
   Likes Received
   571
   Likes Given
   1683

   Default Re: Ramani za nyumba

   ingependeza kweli kama tungeona na mifano (picha) za kazi ulizofanya....ili ivutie zaidi..!

  3. Washawasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2006
   Location : jo'burg
   Posts : 8,083
   Rep Power : 54408467
   Likes Received
   1730
   Likes Given
   3089

   Default Re: Ramani za nyumba

   Quote By K.Msese View Post
   ingependeza kweli kama tungeona na mifano (picha) za kazi ulizofanya....ili ivutie zaidi..!
   ramani na picha mbona kaziweka?
   Nalog off

   SHUKA HALINA MFUKO.
   BORA NIIANGALIE AFYA YANGU KWA SASA,KWA MAANA MAISHA YANGU KUNA WAMBEA WANANISAIDIA KUYAANGALIA.


  4. Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 13,268
   Rep Power : 252220249
   Likes Received
   4233
   Likes Given
   1372

   Default Re: Ramani za nyumba

   Kazi zako ni nzuri mkuu KIWONDEF.

   Naweza kuona sample ya ghorofa ndogo tu iliyo na upande mmoja?

   Yaani nusu ghorofa, nusu kawaida tu ya chini but iwe inavutia.

   Niridhika nayo tunapiga kazi

  5. Nguruvi3's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2010
   Location : Kidabashi-Dongobeshi
   Posts : 8,635
   Rep Power : 429498740
   Likes Received
   14409
   Likes Given
   8573

   Default Re: Ramani za nyumba

   KIWONDEF Unaadiriaje gharama zako


  6. mito's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th June 2011
   Posts : 5,495
   Rep Power : 149548199
   Likes Received
   3165
   Likes Given
   10626

   Default Re: Ramani za nyumba

   Quote By Shark View Post
   Kazi zako ni nzuri mkuu KIWONDEF.

   Naweza kuona sample ya ghorofa ndogo tu iliyo na upande mmoja?

   Yaani nusu ghorofa, nusu kawaida tu ya chini but iwe inavutia.

   Niridhika nayo tunapiga kazi
   mi mwenyewe nataka hii dizaini mkuu
   Silaha ya Uzinzi ni kumuogopa Mungu

  7. nshungu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   2

   Default Re: Ramani za nyumba

   Gharama ungeorodhesha ingekuwa safi sana


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...