salaam ndugu wana jf,chumba kinauzwa na vitu vilivyomo ndani,km kitanda(5*6)godoro,meza,tv,rad io feni,vyombo vya kupikia na vngine vingi,kipo mama joni atakayehitaji ani pm.ahsanteni
salaam ndugu wana jf,chumba kinauzwa na vitu vilivyomo ndani,km kitanda(5*6)godoro,meza,tv,rad io feni,vyombo vya kupikia na vngine vingi,kipo mama joni atakayehitaji ani pm.ahsanteni
Kipo umbali gani toka barabarani? gari linafika hapo? weka bei
Weka namba upigiwe
Kaka samahani ila nimechanganyikiwa na maelezo yako,hicho chumba ni cha kupanga au?kama cha kupanga je kodi inaisha mwezi gan?
Kama ni chumba ambacho kimejengwa ili kulinda eneo then lina ukubwa gani?
Ntashukuru ukijibu
Follow Us Here