Ndugu zangu,
Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi. Simu: 0715551459.
Muro.
Ndugu zangu,
Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi. Simu: 0715551459.
Muro.
Thank you....naogopa Chenge bara barani ....!
Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
CCM is enemy of GOD
Ungeweka na tupicha kidogo mkuu.
Hiyo Bajaj ya India ay Mchina?
Picha nitaipiga niiweke mkuu. Ni bajaj ya India 2 stroke. Iko makini.....
Baba Muro, Kapicha ka Bajaj tunakaomba si unajua tena siku hizi tu redcard twingi mitaani.
Hivi hesabu ya bajaj siku hizi sh ngapi?
I assume full responsibility for my actions, except the ones that are someone else's fault.
For negotiation please call my cell no. is 0715551459. Hesabu yake ina range kati ya 90,000 mpaka 105,000 kwa wiki inategemea na maelewano na dereva wako lakini si chini ya 90,000 kwa wiki. Maelewano yapo kwa serious buyers!
Mvina kama unaihitaji seriously nitapunguza tuwasiliane. Namba ni 0715551459. Hesabu ya bajaj inaeleweka ni Tsh 105,000 kwa wiki.
Uki taka kuangalia ipi ina faida zaidi kati ya bajaj na taxi kuna factors nyingi za kuzingatia. Kwa mfano oil consumption, maintenance na life expectancy ya vyombo hivyo. Nilisha wahi kusikia(sina uhakika0 kwa bajaj baada ya mwaka au miaka miwili inakua imechoka na kuhitajiservice ya mara kwa mara.
Mwanafalsafa,
Fanya research...ya kusikia yanaweza kumislead sometimes...Ni kweli inategemea factors nyingi kati ya taxi na bajaj lakini issue kubwa ni matunzo (nafikiri umeoversee hilo). Kama matunzo ni mabaya hata miezi sita inaweza isifike. Matunzo ni pamoja na kuzingatia service, kutopakiza mizigo mizito, kutembea umbali mrefu (kama kutoka nje ya jiji), kuendesha recklessly...,na nyingine nyingi.
Nafikiri nitakuwa nimekupatia falsafa ya kutosha.
Cheers!
Follow Us Here