Nitafute upate mambo mazuri,,,,,,,,,,0717/0787/0756-9666540 na bei ni 750000 full instalation
Nitafute upate mambo mazuri,,,,,,,,,,0717/0787/0756-9666540 na bei ni 750000 full instalation
Last edited by Chuck j; 27th August 2012 at 10:24. Reason: to add amount
otto
hizo decoder zina nini cha maana chenye kulingana na hiyo thamani...au hiyo bei umekosea kutype
Kweli we mgonjwa wakati kuna jamaa anaunganisha kwa 280,000! Punguza tamaa ndugu.
Kingmaironaomba contacts za huyo mtu wako aniwekee hiyo decorda
" To be happy, we must not be too concerned with others"
Chuck J naomba utujuze zaidi kuhusu hizo dekoda!
Hasta ala victoria, siempré
"Forever, Until Victory"
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
sasa kama nahitaji dekoda pekee bei yake inakuwaje? chuckj
Hasta ala victoria, siempré
"Forever, Until Victory"
Ameweka namba fake
Hicho cha Sh. 280, 000 kitakua sio chenyewe.
tembelea hapa uone kwamba bei uliotajiwa ni sahihi kabisa/
Moola's the motive
Mi ninayo abudhabi sports nilifungiwa na Lampard aljazeera kwa 750 mwaka jana december,,,, huyo lampard anapatikana mtaa wa msimbazi ni maarafu sana kwenye maduka ya vifaa vya madish kariakoo unaweza ukamtafuta..
Hiyo bei inajumlisha humax Hd decoder pvr moja ambayo unaangalia hd match zote duniani,, plus dish 1, gharama za ufundi humo humo na one year package imeshalipiwa full,, kusema kweli aljazeera sports ni the same as dstv as nao wanachukua match direct from skysports hd channels, na standard channels, espn, cfi etc, ina television za sports almost 11, za movie 20, za katuni, music etc...
Baada ya hapo kila mwaka nitakuwa nalipia usd 100 through bank transfers or online...
Angalizo kuna jamaa wanafanga aljazeera kwa kuchakachua hiyo ulipii tena,, dstv, startimes, zuku etc.. Kuna style zinafungwa dish juu plus vifaa vya uchakachuzi vina unlock tv zote.. Hiyo nayo ukitaka unafungiwa,, dstv chafu lak 6,, aljazeera chafu lak 9,, startimes chafu lak 2, na zuku chafu lak 2 ( but hizi afanyi lampard aljazeera zinafanywa kitaaani na watoto wa kitaa)
Abu dhabi naona km lesen yao ya kuonesha EPL inaisha 2014..cjui baada ya hapo itakuwaje?...vp wanaonesha La Liga na UEFA??
50000tsh nakupa fasta
Follow Us Here