Simu tajwa hapo juu yauzwa Bei 350,000 cash, Haipungui hata mia wadau
Simu tajwa hapo juu yauzwa Bei 350,000 cash, Haipungui hata mia wadau
Hiyo uliyotumia siyo lugha nzuri kibiashara.
Watu huwa hawauzi vitu hivyo,ungekuwa huna shida usingeweka tangazo jaribu kutumia lugha nzuri.
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
we ustake nikurembee sana kama unahitaji zungumza... lugha nzuri lugha nzuri kwan umetukanwa
Follow Us Here