shamba ekari moja ni tsh. ngap? mfn. Ninaweza pata ekar moja kmara mwsho kwa bei gan wa kuu..!
shamba ekari moja ni tsh. ngap? mfn. Ninaweza pata ekar moja kmara mwsho kwa bei gan wa kuu..!
Shamba/kiwanja? Umeshayaona hayo mashamba kimara mwisho?
Hivi we Catherine, mbona leo hujaniamkua? Wataka nikukasirikie?
Karibu sana kaunta ya juu. Ukiona Guinness ujue niko karibu. Vipi mkakati wako wa kumnasa CUTE ulifanikiwa?
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Ekari moja kimara mwisho?! Wachaga walivyo na kiburi cha ardhi, hata ukiikuta lazma atake milioni 300!
Wachaga wanakaa Kimara au Moshi? Hepi besdei King'asti. Umeninyima pilau, sichezi tena na wewe....
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
hehehe zamani babu cku hizi 2naenjoy 2 kwene ka garden ke2
A luta continua
Thamani ya shamba inategemea na eneo lililopo na borax wa hilo shamba labda ungesema unataka wapi ungepata msaada wa haraka. Kuna mashamba yanatolewa karibu ya bure ni kwa ada ya serikali za kijiji tu, kuna mashamba yanauzwa kuanzia shillingi 10,000 kwa eka na kuna yanayofika mpaka milloni 50 kwa eka.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
yani mm ndio huyo hahahhaha kha! Asprin u made me smile kwakweli,,,mana hiyo photo ya long sana kupitiliza yani umeipataje
don't cheat in a relatioship..if ur not happy then just leave
Uktaka utamu wa ardhi nzur njoo huku MERU.ekari moja more than 1bl.then uweke roho yako rehan huku ukimalizia nyingine.chezea ardhi wewe!!Allah
pm me I will help u
Hawa jamaa wakiingia kwenye thread yako utakoma .... teh teh teh
Follow Us Here