Wadau nisaidieni natafuta vyumba viwili ya kupanga (Chumba na sebule, chumba kikiwa master ni nzuri zaidi) iwe kwenye usalama zaidi mi nasafiri sana. naomba kuwakillisha, msaada wenu tafadhari.