Kwa yeyote mwenye simu hiyo na anaiuza ani-PM na aniambie anaiuzaje. Iwe mpya au used ilimradi haina tatito tu!
Kwa yeyote mwenye simu hiyo na anaiuza ani-PM na aniambie anaiuzaje. Iwe mpya au used ilimradi haina tatito tu!
uko wapi?? mwanza zipo kwa 140000, vipi nikupe contact?
Kaka email me,[email protected],ipo inauzwa tsh 130,000!Hapa hapa Dar es Salaam tafadhali
ni IDEOS mdau
Mfia nchi
tafuta tuwe wengi,ila betri kaka maumivu.
Mfia nchi
yangu mpyaa..ina miez miwil...nipe 1.5...
no longolongo...
0712507060
naibana koz inantesa kuchati...cnto zoea ase
Follow Us Here