COROLLA i 100 ipo ktk hali nzuri ukiichukua ni kwenda kuipiga rangi nyeupe tu ina full AC contact 0712 85 66 82 au 0715 63 70 61 Yombo dovya dsm
COROLLA i 100 ipo ktk hali nzuri ukiichukua ni kwenda kuipiga rangi nyeupe tu ina full AC contact 0712 85 66 82 au 0715 63 70 61 Yombo dovya dsm
weka picha
lait ungeweka picha,ungepunguza maneno uliyoandika kwa 85%
ikiwezekana nipatiwe namba ya dalali nimpe dili
Hicho kimeo hicho,kiogopeni kama ukoma!
Duh! Hii gari au bajaji
Bajaj Ni 5.5m Gari 3.8m ni ya wapi? Weka spec zake labda una shida ndo maana unauza
KAMA UNA HELA NYINGI NIGAWIE, NAMI NIMILIKI NYUMBA NA KA USAFIRI
KAMA WEWE!
gari 3.8M hii ni FOB au!, loh kitakua ni KIGARI na sio gari.
picha iko wapi bhana? ah!
Shipa hilo unatafuta la kumfia!
duuuuuuh ungeweka picha banaaaaa
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Hata bajaj ya kweli siku hizi inauzwa mpaka 5m. Gari 3.8m? Hapana. Labda ni pikipiki. Inawezekana umesahau mku.
Inaweza kuwa nzuri tu ila ana shida.Mimi pia nna Corola limited AE91 ya 1990,nauza 4.5ml iko poa kabisa
0764 468 469 DAR
2.5 mkuu unakula 2tafutane?
Follow Us Here