Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Kimara Temboni mpaka Mbezi isiwe mbali na barabara iwe na vyumba 3 vya kulala na Car Parking, umeme na maji, mtaa mzuri kwa malezi ya watoto na security ni muhimu, nina uwezo wa kulipa miezi sita mpaka mwaka

Reply With Quote
Follow Us Here