Habari zenu wadau
sisi ni vijana tulioanzisha asasi inayoshughulika na masuala ya kijamii.tulipata usajili mwaka jana mwez wa pili.katika kipindi tangu muda huo tumekuwa tunafanya internal capacity building ikiwemo na kufanya networking na asasi zingine kongwe kama TANGO,TACAIDS,TYC,TGNP nk
tunachohitaji ni vijana kadhaa wenye shughuli zao yani ajira au shughuli zozote ambao wanapenda kufanya mambo ya kijamii na watakuwa tayari kujitolea kujiunga nasi.tunasema kujitolea kwani haitakuwa ajira rasmi na wala haitamzuia mtu kufanya shughuli zake kama ni muajiriwa au muajiri
hata hivyo tuko na miradi miwili mikubwa ambayo tunatarajiakupata ufadhili muda siyo mrefu ndio maana tunahitaji watu potential tutakaoshirikiana nao kufanya mradi huo hapa dar es salaam..
kwa yeyote atakaekuwa interesed tuwasiliane kwa namba 0717-478451

Reply With Quote
Follow Us Here