Naomba ushauri wa kitaalamu ili niweze kupata dawa ya kuondoa kipara na mvi,
Naomba ushauri wa kitaalamu ili niweze kupata dawa ya kuondoa kipara na mvi,
Najua humu kwenye JF kuna wataalamu wa afya ndiyo maana nimeomba ushauri,
Humu JF, ukiomba msaada au ushauri wa kiafya, kisheria au kiuchumi ni wachache sana watakujibu na kukupa ushauri wa maana. Wengi humu wamegeuka kuwa Wataalam wa Siasa na mambo ya Mapenzi tu. Ukitaka kuthibitisha hili, post thread ya Siasa/Mapenzi humu na nyingine ya kuomba msaada wa kisheria/kiafya halafu ulinganishe response rate! Ndio maana nikakuambia waulize wahusika ndio wanaweza kukujibu vizuri zaidi kuliko ma-great thinkers wa Siasa na Mapenzi!
Wasiliana na wyne Rooney atakusaidia maana haiwezekani
Nimekupata
Follow Us Here