Nguzo za fence, paddock, n.k ambazo ni treated zinauzwa, mnunuzi unatoa specification unazotaka unaletewa, pia mirunda ya kujengea magorofa inapatikana.

Unazo nguzo za inch 7? Nahitaji zenye futi nane kwa urefu. Naomba nipe bei.
.... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....
Pia nguzo moja unauza kwa bei gani?Toa bei mkuu nije kuchukua
Follow Us Here