Laptop Solar Charger LY-K1028
matumizi1.laptops,
2.cell phones,
3.digital cameras
4.MP4,MP3 solar charger
kama unahitaji tuwasiliane
[email protected]
bei TZS 300000/=
PUNGUZO LIPO
Laptop Solar Charger LY-K1028
matumizi1.laptops,
2.cell phones,
3.digital cameras
4.MP4,MP3 solar charger
kama unahitaji tuwasiliane
[email protected]
bei TZS 300000/=
PUNGUZO LIPO
Last edited by engmtolera; 29th July 2012 at 09:45.
"The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."
Charger laki tatu? Itakuwa una huruma sana kwanini ushuze milion moja na laki tano?
Wewe noma bei ya charger inakaribiana na bei laptop!! tumia mwenyewe na ndugu zako...
mkuu
kumbuka hii ni solar charger na unaweza kuitumia mahala popote pale pawe pana umeme ama hakuna umeme,utacharge simu,camera na kwa wale wa vijijini tatizo la kupeleka simu mjini ikachajiwe halipo tena,utafanya biashara na watu wa vijijini kwa kuchaji simu zao,laptop,mp4,mp3 na camera
kwa bei ya laki 3 tu
bei ni chee sana
"The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."
mkuu nakubaliana na wewe vifaa original vya solar ni gharama sana huwezi amini kijijini kwetu nguzo ya umeme iko mbali sana kama nguzo nane zilikuwa zinahitajika nikasema nichukue solar system nimfungie bibi yangu. ukienda kariakoo unaweza pata umeme wa solar wa nyumba yako nzima i mean bulb 13 switch socket 4 kwa tsh 700,000 ila nikagundua ni feki ila kuna jamaa agency from germany wao walikuwa wanavifaa original jumla ilikuwa ni tsh1800,000/= guarantee ya battery miaka mitano huwezi amini mpka leo bibi anakula umeme kila siku na kucharge simu yake mwaka wa tatu sasa sijabadilisha chochote mpka miaka mitano ndio nitachange battery pia wana fridge walikuwa wanauza tsh 3m, kwa huyo jamaa wala siwezi kushangaa kama ni vitu original, na siku hizi bongo tunaingia hasara kila siku bila kuangalia ubora wa vitu vyenyewe bora uingie gharama kubwa udumu nacho kuliko kununua kwa bei ndogo itakugharimu.
ni bora wewe umejionea mwenyewe,maana kuna watu humu huchukulia vitu rahisi rahisi na mwishowe wanaanza kuwalaumu wachina
tunapenda urahisi sana na hatupendi kununua vitu vyenye ubora.
ki ukweli vifaa vya solar ni gharama,initial investiment cost yake ni kubwa lakini utakaa nacho kwa muda
solar charger nilizonazo ni nzuri sana na zinaubora wa hali ya juu na hata gharama yake pia ipo juu
"The person who says it cannot be done should not interrupt the person doing it."
Follow Us Here