Eneo ni kubwa na linafaa kwa matumizi ya biashara kama garege, parking ya magari makubwa au kiwanda. lina ukubwa wa SQM 14,600. eneo lote limezungushiwa ukuta. ndani lina nyumba ya kisasa yenye vyumba 6 . huduma za umeme na maji zinapatika. lipo mbezi mwisho barabara ya morogoro. bei ni Tsh. 950,000,000/= mawasiliane
+255 778 625039, na 657 145555.


Reply With Quote

Follow Us Here