Ni kiwanja kizuri kipo pembeni ya barabara kwa mujibu wa ramani. kipo eneo la Bunju A wilaya ya kinondoni. kina sqm 1,000 kimepimwa na kina hati. tunahitaji mnunuzi wa haraka bei powa ni Tsh 13,000,0000. mazungumzo hamna. kipo tambalale kwa kweli ni kizuri na bei nzuri. kwa anayetaka kukiona na kununua tuwasiliane 0778 625039 Akiri.


Reply With Quote
Follow Us Here