wadau mwenye kuhitaji hii kitu ni renault ya jeshi la ufaransa awasiliane na mimi kwa no 0754533784
wadau mwenye kuhitaji hii kitu ni renault ya jeshi la ufaransa awasiliane na mimi kwa no 0754533784
kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.
r u seriously jocking?
"Smile though your heart is aching"...Me says
Watalii watakaa wapi hapo??
Wewe sema labda la kubebea mbao au magogo
Hiyo gari si lilishakua chuma chakavu, wewe umelipaka rangi tu.
,,,,,,,,Jisachi
Hili Spare itakuwaje au ndio kuagiza Congo? hizi GAri za Ufaransa ukienda Commoro utayakuta yamelala na upya wake yakiwa yameharibika kidogo tu... mafundi wachache kama Zanzibar... ila Mkuu weka fununu kidogo utujuze kianzio...
Sasa hao watalii si wataliwa na simba?
Follow Us Here