habari wanajamii,
plz naitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante
habari wanajamii,
plz naitaji asali, ila sina uzoefu wa bei zake, mwenye kujua bei kwa lita na wapi asali nzuri inapatikana hapa dar, asante
ungekuwa mbeya ningekuelkeza sehemu ya kupata..
nasikiaga watu wanapenda asaki ya nyuki wadogo-kwamba ndo nzuri..
au asali mbichi..nasikiaga ni nzuri pia.sijui kama ni kitu kilekile au kuna tofauti..
kama vipi nenda katafute kariakoo ila ujiandae kupoteza mda mwingi na bugdha haswaa!!
Please God-if you cant make me thin make my friends FAT!!
Litre moja ya asali ni shilingi elfu kumi, njoo mtaa wa mkunguni na sikukuuu, ulizia kwa Mfalme Katungunya, utapata
unahitaji lita ngapi? mimi ninayo kama lita 360 hivi,,
otto
lita nauza shs 6000,,ni kwa jumla mkuu,,
otto
mkuu ni PM nikupatie asali mbichi kutoka TBR,naweza kukufanyia TSH 35,000 kwa lita tano,pia ukitaka ya nyuki wadogo inapatikana pia lkn bei yake ipo juu kidogo.
Kwa mahitaji ya MDALASINI WA UNGA na ASALI MBICHI,tafadhali wasiliana nami kwa namba hizi: 0754 255 734/0712 259 129Asali lita1 Tsh10,000 na Mdalasini ni Tsh 2,000
Follow Us Here