Ninauza kabati la kioo na aluminium la kudisplay lilikuwa linatumika stationery ni jipya.width 250cm, heigt 125cm.lipo maeneo ya upanga karibu na fire, kama unahitaji piga 0787428754.tuwasiliane

bei plse
"Smile though your heart is aching"...Me says
250,000/=tshs
Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.
mbona hujaweka picha tulione
Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.
poa nimeliona
Follow Us Here