wana JF natafuta gari NISSAN XTRAIL iwe ni ya mwaka 2002/2003 bei iwe nzuri tafadhali.
wana JF natafuta gari NISSAN XTRAIL iwe ni ya mwaka 2002/2003 bei iwe nzuri tafadhali.
nifaham mtu anauza, weka namba yako akupigie ili mzungumze nae
Watu wa JF ni wazushi sana kwenye biashara,wanaweka matangazo ili mradi waweke mitego kwa mabinti wa JF,acheni hizo jamani!!! Mwenye kutaka gari hawezi akapost vitu nusu nusu namna hii kuweni serious jamani!! Nissan X-trail ya rangi gani? Je bajeti yako ipo vipi? We ni dalali au mnunuzi?
Follow Us Here