simu hizo hapo zauzwa zikiwa zimetumika kwa mwezi mmoja tu.
nipo dar
nipigie 0682399189.
simu hizo hapo zauzwa zikiwa zimetumika kwa mwezi mmoja tu.
nipo dar
nipigie 0682399189.
Last edited by tsar; 13th July 2012 at 13:06.
Bold ipi?? 9000? 9700? 9780 ?? 9790 ?? 9900?? 9930???
I phone 4s nataka laki 5
Bold 9780 used laki sita? Kalaghabaho!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ni 9790 sio 9780 mkuu!! Na hiyo bei kwa kuanzia ni sawa kabisa kama unafahamu bb vizuri
Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
laki tano huchukui hiyo galaxy s2?
Tsar, torch 2 9810 unayo?? Ka ipo hw much??
dah ningekutafuta kaka sema kwa sasa nipo bukoba, nilitaka kumwagiza dogo wangu labda aje aicheki lakini naona labda siku nyingine but i really like samsung galaxy s2.
nokia e7 cwez pata?p
sh ngap?
Follow Us Here