Wadau nauza FLAT TV HD READY SHARP 32 INCHES INA HDMI CONNECTIONS...INA HALI NZURI USED NIMETUMIWA NA RAFIKI YANGU TOKA JAPAN.....BEI 750,000 MAONGEZI YAPO...NIPO DAR CITYCENTRE...KAMA UPO SERIOUS NI PM..KARIBUNI NA NAWAKILISHA

Mkuu, "Used" halafu unauza bei kubwa hivyo!!!
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Sio vizuri kuuza zawadi.
PowerG Hiyo bei inazungumzika sana tu, si unajua wabongo,,,discount muhimu
nkutafute nna 400kl..thats my offer
ni LED au LCD???
mkuu nina laki nne na nusu...
Nashukuru kwa kushow up, jamani LAKI NNE NA NUSU HAILIPI,,TV NI NZURI SANA FLAT NA NI ZILE NZITO HATA KUBEBA UNAJISIKIA UMESHIKA KITU....OFCOURSE SCREEN YAKE NI LIQUID CRYSTALLED DEUD..IKO POA MWENYE OFA NZURI MI NAMPA
toptop ngapi
650,000 unachukua
Follow Us Here