habari
wana JF ninauza noah white kwa sh million 12.5 kwa atakae itaji call or txt 0716-369299
habari
wana JF ninauza noah white kwa sh million 12.5 kwa atakae itaji call or txt 0716-369299
photo please
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Ile gx mia ya jamaa ushauza? au kakutolea mbavuni
Mkuu Noah zimeshuka bei sana labda uwakamate wajinga wajinga.Soko la Noah limeharikiba baada ya serekali kuzipiga marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa taarifa yako Noah bei yake sasa ni kati ya 8 mil - 6 mil.
[QUOTE=Ngongo;4117225]Mkuu Noah zimeshuka bei sana labda uwakamate wajinga wajinga.Soko la Noah limeharikiba baada ya serekali kuzipiga marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa taarifa yako Noah bei yake sasa ni kati ya 8 mil - 6 mil.[/QUOTE
bora umempa ukweli wake...........huenda hiyo nayo ilikuwa daldala au iliagizwa kwa kazi hiyo sasa mambo yamechacha. pole mkuu mambo yameharibika noah zilikuwa zimefikia m 15 lkn now ukienda kidongo chekundu m9 unaipata saaafi kabisa mkuuu
Follow Us Here