Ni viwanja vizuri sana viko barabarani karibu na st.gasper(viko vinne) na pia ukitaka mashamba kuanzia ekari moja dodoma maeneo ya nzuguni.. we ni PM.
Pia tunazo nyumba za kupangisha dodoma area c, d, e na maeneo ya mjini... ukitaka frem ya biashara pia unapata bei sawa na buree...
KUMBUKA: DODOMA is a fast growing city in Tanzania so jipange ukichelewa utakuja juta..
kwa mawasiliano ni PM

Reply With Quote
Bei ni pouwa wenzio wanachangamkia we unauliza maswali nje ya topic!



Follow Us Here