Last edited by Wilbert1974; 11th June 2012 at 23:40.
mmmh, hapo urafiki na mafundi lazima
Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?
Badili avatar yako kwanza,,, maana naona kama unatania watu vile..
mafundi watakuzoea sana tu
ukipenda niite double biiiiiii!! tchao
inatembea....?mbona hujataja specifications zake...
chezo hili..............
" Hivi ni nani anayewauzia wasanii magari? Maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani"---Fidq
Hapo baada ya muda na wewe mwenyewe lazima ujue ufundi maana kila kukiacha utakua unajifunza ufundi wa kitu kipya.
Kama ni kwa lengo la kutaka lifie mlangoni kwako ili watu wawe wanaona kuwa wakati fulani nawe ulikuwa na gari, linafaa sana.
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Je ilishagogwa au kupigwa rangi na kwanini unauza?
Nikipata hayo majibu nitakutafuta.
Mkuu naunga mkono hoja yako: Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive. Ina maana ni gari ya mwaka 1990 ? na sasa 2012. Kwa mantiki hiyo, 2012 - 1990 = miaka 22. Miaka minne zaidi ya umri wa mtu mzima !!! Ukinunua hilo, utakuwa umenunua umasikini - pesa kuishishia kwa mafundi; na ugomvi na Bosi wako maana utakuwa unachlewa kufika kazini.
INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO
Mkuu vipi bodi yake ishapata misukosuko ya kugongwa.Ilisha wahi kula mkenge hata mara 1.
hii ungepeleka machimboni mererani fasta unapata soko
lakini kwa mjini sidhani litakuozea
You may know me but you have no Idea who I am !
Mkuu 2.5m unapokea?
Maana lazima nijenge undugu na mafundi bubu
Halijawahi gongwa; ila lipinduka lenyewe 2006 baada ya kuburst tairi ilibidi kupakwa rangi na kuweka kioo kingine cha mbele hapo ilikuwa kama mwezi mmoja tangu kununuliwa...
Tunauza sababu limetuchosha na hatuna sababu ya kuwa na gari zaidi ya moja kwa sasa!
Lilikuwa linafanya kazi ya tax sasa hailipi...
We are like children, lost on a subway. Who will care about us?
Wengine tuna ugonjwa wa moyo jamani
MFUNGWA HACHAGUI GEREZA
Follow Us Here