Salam kwa wote! Nyumba mbili pamoja na kiwanja cha kutosha zipo MOSHI mjini Eneo la karanga, bara bara ya Moshi Arusha, mkabala na geti la Magereza la karanga Moshi. Kwa maelezo zaidi piga 0789-604755.