Nyumba ina kiwanja kikubwa cha kuongezea nyumba nyingine hata 3 inauzwa tabata, pesa ina hitajika haraka, milioni 187, tuwasiliane 0714981009 tufanye biashara hati ipo ukisharidhia unaweza kwedna kuhakiki, nipigie, karibuni.

ya urithi nini?
milion 187?????? kila mtu fisadi bongo...
Mil 180? Serious??
Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....
Yaani milioni 187 ndo unawaharakisha watu hivo na unasema eti kwiki money, mie nilidhani labda milioni hata 5. Hiyo ya milioni 187 ndugu yangu usiseme eti inauzwa haraka sema tu nyumba ipo sokoni inatosha na wala sio ya kwiki money
There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".
weka picha kiongozi na ufunguke ukubwa wa eneo .
unajua bila kuweka details za kutosha ndo watu kusema hivyo...Weka picha labda nyumba ina vigae, tiles, garden etc.....fanya watu washawishike kutoa hizo hela. Sasa unataja hizo million ngapi cjui halafu hamna any evidence kama nyumba yenyewe ipo....GET REAL!!
Baby Steps...
Follow Us Here