Show/Hide This

  Topic: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

  Report Post
  Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 107
  1. W. J. Malecela's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 15th March 2009
   Posts : 10,309
   Rep Power : 584121
   Likes Received
   4741
   Likes Given
   2430

   Default Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Malecela Blog

   - Karibuni sana wananchi.

   William.
   mpayukaji likes this.


  2. Ibrah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2007
   Location : TZ
   Posts : 2,930
   Rep Power : 1305
   Likes Received
   435
   Likes Given
   116

   Default

   Quote By W. J. Malecela View Post
   Malecela Blog

   - Karibuni sana wananchi.

   William.
   Nakushauri uiite Malecela WJ ili kutotuchanganya wasomaji wako. Kwa kuiita tu Malecela nadhani si sahihi sana.
   W. J. Malecela likes this.

  3. saitama_kein's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : KASULU
   Posts : 980
   Rep Power : 779
   Likes Received
   89
   Likes Given
   67

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By W. J. Malecela View Post
   Malecela Blog

   - Karibuni sana wananchi.

   William.
   Nimetembelea blog yako....kwa kweli ni AIBU ya karne.....sasa kukaa kwako nje muda mrefu kumekusaidia nini??
   Tukosoane lakini Tusibezane

  4. CAMARADERIE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : 1 Luthuli Street
   Posts : 4,318
   Rep Power : 2847
   Likes Received
   1698
   Likes Given
   1169

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By saitama_kein View Post
   Nimetembelea blog yako....kwa kweli ni AIBU ya karne.....sasa kukaa kwako nje muda mrefu kumekusaidia nini??
   He ended up having frozen brains..........how disgusting....hata Maggid na Mange wanamzidi ubunifu.....LOOSER
   W. J. Malecela likes this.

   Tanganyika
  5. Chakaza's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 10th March 2007
   Location : everywhere
   Posts : 8,911
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4294
   Likes Given
   2399

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Nimejiuliza sana baada ya kuiangalia hiyo blog, hivi huyu ndio alitaka kuwa mwakilishi wetu bunge la EA? na bado wapo wabunge walimpa kura eti,
   Tanzania haiishi vituko.
   W. J. Malecela and mkomatembo like this.

  6. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,380
   Rep Power : 1304132
   Likes Received
   6883
   Likes Given
   6005

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Jobless. Nini madhumuni ya hyo blog yako Uchwara?
   W. J. Malecela likes this.


  7. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,380
   Rep Power : 1304132
   Likes Received
   6883
   Likes Given
   6005

   Default

   Quote By CAMARADERIE View Post
   He ended up having frozen brains..........how disgusting....hata Maggid na Mange wanamzidi ubunifu.....LOOSER
   hahaha. Umepga mlemle.
   W. J. Malecela likes this.

  8. mkomatembo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2011
   Location : Bweleo
   Posts : 1,081
   Rep Power : 746
   Likes Received
   260
   Likes Given
   1296

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Dah! kweli wewe naona bado akili yako ya kitoto! yaani hiyo blog imejaa wanawake wa facebook na kwanini sio marafiki wanaume wa facebook, halafu nimeshangazwa na kujiuliza wewe ndio ulikuwa uwe mbunge wa EA ukituwakilisha???? mbona balaa hili ! cheni nje nje kifua wazi maana ni mambo ya wauza unga hayo! mbona Tanzania kuna mambo !!!! hebu kwanza jaribu kumature na ubadilike halafu ndio urudi kwenye ulingo wa siasa! unamuonesha nani hiyo cheni? umeniudhi !!!!!
   Yo Yo and W. J. Malecela like this.

  9. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,309
   Rep Power : 201427284
   Likes Received
   2845
   Likes Given
   1287

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By BAK View Post

   ...Kujifagilia tayari kwa kinyang'anyiro cha 2015 kule jimboni.
   Ha ha ha Bubu AK,
   Yaani si unaona na avator ni gamba la kijani? Huko kweny blog kutakuwa tu na taarabu za CCM!!! Hongera mzee wa .........umem.
   W. J. Malecela likes this.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  10. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,309
   Rep Power : 201427284
   Likes Received
   2845
   Likes Given
   1287

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By mkomatembo View Post
   Dah! kweli wewe naona bado akili yako ya kitoto! yaani hiyo blog imejaa wanawake wa facebook na kwanini sio marafiki wanaume wa facebook, halafu nimeshangazwa na kujiuliza wewe ndio ulikuwa uwe mbunge wa EA ukituwakilisha???? mbona balaa hili ! cheni nje nje kifua wazi maana ni mambo ya wauza unga hayo! mbona Tanzania kuna mambo !!!! hebu kwanza jaribu kumature na ubadilike halafu ndio urudi kwenye ulingo wa siasa! unamuonesha nani hiyo cheni? umeniudhi !!!!!
   Toba rabi nami nimechungulia huko. Yaani ni kusema kwamba huna marafiki wa kiume au hata kitu cha maana cha kuweka bloguni kwako? So sad, hebu fanya faster angalia blog kama za akina michuzi, mjengwa, full shangwe, etc. Au tuseme motive yako ni promotion of facebook!!! Du fabebook friends!!!!!!!!!! Haya mbunge mtarajiwa wa Segerea, oppppppss mtera!!!! ops
   W. J. Malecela likes this.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  11. Mchaka Mchaka's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 20th July 2010
   Location : A - CITY
   Posts : 4,538
   Rep Power : 1547
   Likes Received
   1320
   Likes Given
   687

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   willie fanya mazoezi..umenenepa utadhani taahira la kihindi!
   Last edited by Mchaka Mchaka; 21st May 2012 at 16:01.
   Yo Yo and W. J. Malecela like this.
   Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.

  12. CAMARADERIE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Location : 1 Luthuli Street
   Posts : 4,318
   Rep Power : 2847
   Likes Received
   1698
   Likes Given
   1169

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By Mchaka Mchakani View Post
   willie fanya mazoezi..umenenepa kama taahira!
   Mpaka anaota manyonyo bana

   W. J. Malecela likes this.

   Tanganyika
  13. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,380
   Rep Power : 1304132
   Likes Received
   6883
   Likes Given
   6005

   Default

   Quote By CAMARADERIE View Post
   Mpaka anaota manyonyo bana

   teh teh teh.
   W. J. Malecela likes this.

  14. Jestina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2011
   Posts : 4,699
   Rep Power : 88977825
   Likes Received
   1419
   Likes Given
   1413

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   mie sielewi hii bashing wana jf inakuja vipi????blog ni personal journal mtu anaweka kitu anachojisikia,ukiona unapenda mtembelee ukiona hupendi usimtembeleee period.......mkoo soo negative mpaka mnasuck....
   W. J. Malecela likes this.

  15. mkomatembo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th December 2011
   Location : Bweleo
   Posts : 1,081
   Rep Power : 746
   Likes Received
   260
   Likes Given
   1296

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!   Alileta humu ili watu wachangie bila shaka, sasa kila mmoja anatoa mawazo yake kama nembo ya JF ilivojionesha sasa yeye avumilie tu, kuna watakaoukuwa Positive nae na watakaoukuwa Negative nae! binafsi sioni kama ina tija hasa ikizingatiwa huyu bwana juzi tu alikuwa akiomba uwakilishi kwenye Bunge la Afirka Mashariki! sasa mtu anajiuliza hivi mtu wa aina hii ndio akatuwakilishe sisi waTanzania? tunashangaa kwa kweli ! wacha watu tusema na tucomment openly !
   W. J. Malecela likes this.

  16. Asumwisye's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 55
   Rep Power : 467
   Likes Received
   14
   Likes Given
   21

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Ok, thanks Malecela, for the info.
   W. J. Malecela likes this.

  17. sexologist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2010
   Location : ITONGOITALE - SHINYANGA
   Posts : 2,100
   Rep Power : 129016
   Likes Received
   799
   Likes Given
   692

   Default

   Quote By Mukhabarat View Post
   Yaani hili jamaa puuzi kweli, mimi huwa silielewi lipo kama lina mambo ya kichoko choko vile, hawezi kuwa hapumuliwi kisogoni, hayo maudhui ya kwenye blog yake yana msaada gani kwa jamii ni kama vile udaku udaku na tabia za kina mashostito.
   Huu sio ustaarabu hata kidogo, hata kama unamchukia mtu kiasi gani kupost matusi kama hv si sahihi, pia nadhani ni kipimo cha uelewa wako.. Sijui mods wamelala!

   Kuambiwa 'where we dare to talk openly' doesn't mean 'where we dare to “f$ck' openly'

   Jiheshimu mamaa!
   W. J. Malecela likes this.

  18. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 8,617
   Rep Power : 57988092
   Likes Received
   3892
   Likes Given
   4901

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By W. J. Malecela View Post
   Malecela Blog

   - Karibuni sana wananchi.

   William.
   Asante kwa karibisho.
   Je, mimi msomaji nitarajie kupata info gani kwenye Blog yako?
   W. J. Malecela likes this.
   Do Something......

  19. Kinyungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2008
   Posts : 1,978
   Rep Power : 1059
   Likes Received
   301
   Likes Given
   562

   Default Re: Nimefungua New Blog: Malecela Blog!

   Quote By Saint Ivuga View Post
   h aha a nimeitembelea kweli willie huna kazi ya kufanya arifu..karibu tena mosshi

   Aisee arifu mi nimeicheki hiyo blog kwa kweli mambo yaliyomo hayaendani na umri wala siha ya jamaa. NADHANI ANAHITAJI USHAURI NAHASA
   W. J. Malecela likes this.
   Together in Poverty Apart in Riches

  20. Ng`wanakidiku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th April 2009
   Posts : 1,199
   Rep Power : 849
   Likes Received
   227
   Likes Given
   418

   Default Vituko vya mbunge wa EAST AFRICA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

   Wadau, nimeshindwa kumuelewa huyu mwenzetu, aliyekuwa anatarajiwa kuwa Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, kaka yetu, mdogo wetu William. Yaani kwenye facebook wall yake anajaza picha za mademu eti mara wapo Washington DC mara wa Tanzania. Sasa nashindwa kumuelewa huyu jamaa.
   Ona hii hapa
   Source:Malecela Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!
   Thugnificent likes this.
   Mimi siyo mwana siasa!

  21. kadoda11's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th January 2011
   Location : Planet Earth
   Posts : 7,311
   Rep Power : 81151179
   Likes Received
   2633
   Likes Given
   871

   Default Re: Vituko vya mbunge wa EAST AFRICA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Ng`wanakidiku View Post
   Wadau, nimeshindwa kumuelewa huyu mwenzetu, aliyekuwa anatarajiwa kuwa Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, kaka yetu, mdogo wetu William. Yaani kwenye facebook wall yake anajaza picha za mademu eti mara wapo Washington DC mara wa Tanzania. Sasa nashindwa kumuelewa huyu jamaa.
   Ona hii hapa
   Source:Malecela Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!
   ya fb jf wap na wapi?
   "The only true wisdom is in knowing you know nothing"


  Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...