Model: Hp compaq presario
specification:
Hdd:300gb
ram 2gb
processor: Intel duocore 2.1ghz@
webcam
dvd rw.....
Mob: 0755713280
0712952578
Model: Hp compaq presario
specification:
Hdd:300gb
ram 2gb
processor: Intel duocore 2.1ghz@
webcam
dvd rw.....
Mob: 0755713280
0712952578
Bei tafadhali.
specification nimeziona funguka bei bac
Weka bei na uko wapi? Usitangaze biashara kijima.
"Ukipendwa - penda, ipo siku utapenda - usipendwe"
Zipo nyingi ama moja tu? Pia funguka na bei!
ni laki 6 tu.. na itapendeza km utaiona na uridhikie na bei
ni laki 6 tu.. na itapendeza km utaiona na uridhikie na bei nipo kimara dsm no zang nimeweka hapo ktk tangazo... ni pisi moja tu
ni TZS laki sita. nipo kimara dsm ipo moja na ni yang nlikua natumia
ndg yangu ipo moja tu na ni yangu nlikua natumia.. nipo kimara dsm bei laki sita(600,000) na ili kukubaliana na bei yafaa uione
Follow Us Here